TANESCO Dodoma kuweni wasikivu

TANESCO Dodoma kuweni wasikivu

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
3,428
Reaction score
5,468
Habari ya wakati huu!

Mimi ni miongoni mwa Raia mwema ninayepata huduma ya Umeme kupitia TANESCO maeneo ya Nzuguni A katika eneo la Mtaa wa Nunduru. Kutokana na utanukaji wa Jiji la Dodoma huduma ya Umeme imekuwa na changamoto kubwa ya low Voltage.

Pindi Giza linapoingia umeme unakatika na kuwaka ndani ya saa si chini ya mara Tano, jambo linalotupa wasiwasi usalama wa vifaa vyetu vya umeme na vingine kufungua. Binafsi nimewasiliana mara nne na kupewa namba ya huduma ili watoa huduma lakini wanaishia kupiga simu na kusema watafikisha taarifa kitengo Cha transfoma.

Lakini hakuna la ziada mpaka sasa zaidi ya kero,Nikuombe Meneja TANESCO DODOMA Msaada wako katika hili.
 
Back
Top Bottom