sabuni ya gesi
Member
- Dec 4, 2019
- 48
- 45
Ni Pua na mdomoKaribu na kwa baba wa Taifa
PoleniNi Pua na mdomo
Jumanne Sagini, aliyewahi kuwa Katibu mkuu TAMISEMI na RAS BariadiMbunge mpya ni nani ?
AsantePoleni
thanks..Jumanne Sagini, aliyewahi kuwa Katibu mkuu TAMISEMI na RAS Bariadi
Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi tafadhaliNi wiki ya pili sasa hatuna umeme, transformer yenu iliharibika baada ya nyie kutoianyia maintenance kwa miaka.
Kila mkija mnazunguka zunguka na lori lenu mnaangalia transformer kisha mnaondoka. Simu hampokei., na mkipokea mmekuwa waongo mno.. Hapa kuna taasisi zaidi ya tatu zinazotegemea umeme kupump maji, hivi tutaishi vipi bila maji?
Swala la nyie kuja na kuunganisha transformer ya karibu ikasambaza umeme mnashindwaje?
Mita zingine mmeweka juu ya nguzo na umeme ukiisha zinajilock hadi mje mpande juu ya nguzo ndo mzifungue. Mkiitwa makaa siku mbili ndo mje, mara ooh hakuna usafii MUNGU ANAWAONA
Ukitaka kuungiwa umeme ndo usiseme, mnataka mbebelezwe miezi miwili.
TANESCO KERO NA MATESO YAMEZIDI HAYAVUMIIKI
Bila shaka mleta uzi umepata mwongozo.Ni wiki ya pili sasa hatuna umeme, transformer yenu iliharibika baada ya nyie kutoianyia maintenance kwa miaka.
Kila mkija mnazunguka zunguka na lori lenu mnaangalia transformer kisha mnaondoka. Simu hampokei., na mkipokea mmekuwa waongo mno.. Hapa kuna taasisi zaidi ya tatu zinazotegemea umeme kupump maji, hivi tutaishi vipi bila maji?
Swala la nyie kuja na kuunganisha transformer ya karibu ikasambaza umeme mnashindwaje?
Mita zingine mmeweka juu ya nguzo na umeme ukiisha zinajilock hadi mje mpande juu ya nguzo ndo mzifungue. Mkiitwa makaa siku mbili ndo mje, mara ooh hakuna usafii MUNGU ANAWAONA
Ukitaka kuungiwa umeme ndo usiseme, mnataka mbebelezwe miezi miwili.
TANESCO KERO NA MATESO YAMEZIDI HAYAVUMIIKI
Porojo dot com, mimi niko Dar na nina TB namba ya tangu june kuja kuondowa nguzo iliyooza mpaka leo mmekalia porojo tu.Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi tafadhali
Hamna kitu hapo.Bila shaka mleta uzi umepata mwongozo.
Maana nimekuitia wahusika
Ndugu mpendwa Mteja wetuPorojo dot com, mimi niko Dar na nina TB namba ya tangu june kuja kuondowa nguzo iliyooza mpaka leo mmekalia porojo tu.
Nataka kufunguwa RB Polisi ili mvua zikianza ile nguzo ikaanguka kwa upepo mkali upelelezi wa kesi usilete shida, kuna watu watakwenda kuozea jela kwa kesi ya mauwaji.
Dawa yenu naijuwa na nimejipanga vizuri kuhakikisha nakomesha uhuni wenu.
Unalifanyia vipi kazi? Ni lini utalifanyia kazi? Na kwann mpaka leo hamjaliona mpaka watu waje jf?Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi tafadhali
Hili shirika lisipo tafutiwa mpinzani wake hawata jirekebisha.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Namba ya taarifa
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora, wengi wanaotoa taarifa kamili wanapata huduma na wanatoa ushuhuda hapaHili shirika lisipo tafutiwa mpinzani wake hawata jirekebisha.