Mtatuua jaman,sio sisi mwee.
Daah nimecheka sana,pole mkuu,bora hujatafuna pilipiliSisi pia huku kwetu wamekata jioni hii.Hapa nipo kupata pochopocho lililopatikana kutokana na jitihada ngumu za siku.Nimejiwashia kijinga cha moto namulika kwenye bakuli kwani ndururu ya kununulia mshumaa inaniuma kutoa si bora nikanunulia fungu 1 la mchicha kesho!Haya sasa nakamata finyango kubwa la ugali,natoweza kwenye bakuli la maharagwe yalochemshwa na kutiwa chumvi kiasi na maji pasi mafuta.
Ghafla natafuna kitu kibichi mfano wa kumbikumbi.Kinaninogea,mate ya hamu yanijaa mdomoni,punde mwili unasisimka kuonyesha aliyetafunwa si kumbikumbi,ninatema na moyo waenda mbio kubaini ni mende mkubwa alonona!Ninatema na kusonya ..kumbe kijinga cha moto kinatoa mwanga hafifu,TANESCO hawana utu mabarakala hawa.Ninasukutua mdomo na kisha kutafuna kipande cha mhogo uliochomwa na kunde zilizochemshwa kuweka mdomo sawa.
Khaa .....amaa kweli Tanesco waangalie jinsi wataweza saidia hii jambo maana hii si'ishara nzuri hata kidogo.Sisi pia huku kwetu wamekata jioni hii.Hapa nipo kupata pochopocho lililopatikana kutokana na jitihada ngumu za siku.Nimejiwashia kijinga cha moto namulika kwenye bakuli kwani ndururu ya kununulia mshumaa inaniuma kutoa si bora nikanunulia fungu 1 la mchicha kesho!Haya sasa nakamata finyango kubwa la ugali,natoweza kwenye bakuli la maharagwe yalochemshwa na kutiwa chumvi kiasi na maji pasi mafuta.
Ghafla natafuna kitu kibichi mfano wa kumbikumbi.Kinaninogea,mate ya hamu yanijaa mdomoni,punde mwili unasisimka kuonyesha aliyetafunwa si kumbikumbi,ninatema na moyo waenda mbio kubaini ni mende mkubwa alonona!Ninatema na kusonya ..kumbe kijinga cha moto kinatoa mwanga hafifu,TANESCO hawana utu mabarakala hawa.Ninasukutua mdomo na kisha kutafuna kipande cha mhogo uliochomwa na kunde zilizochemshwa kuweka mdomo sawa.
Daah nimecheka sana,pole mkuu,bora hujatafuna pilipili
Khaa .....amaa kweli Tanesco waangalie jinsi wataweza saidia hii jambo maana hii si'ishara nzuri hata kidogo.
Wanakupunguzia matumizi peopleLeo huku mza hatuna umeme toka saa 2 asubuhi. Umerudi saa 1 umekaa kwa saa moja den ukakatika tena mpaka sasa tumelala gizani
Wanaongeza mkuu...uwaze kununua mishumaa ya kutosha, usalama unakuwa mdogo......Wanakupunguzia matumizi people