TANESCO, Asante kwa ongezeko kubwa la bei ya umeme

TANESCO, Asante kwa ongezeko kubwa la bei ya umeme

SIMBA mtoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
204
Reaction score
100
Ninapenda kushukuru uongozi wa shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) kwa kuongeza bei kubwa ya umeme kuanzia mwezi huu wa August 2014. Ni matumaini yangu kuwa makusanyo zaidi ya fedha yatawezesha watawala wetu kupata mahali pa kuchukulia fedha bila mizengwe. Hongereni sana.
attachment.php

attachment.php


Downloads | Tariffs
 

Attachments

  • tanesco.png
    tanesco.png
    128.5 KB · Views: 1,332
  • tenesco2.png
    tenesco2.png
    113.4 KB · Views: 1,261
Wameongeza kodi kinyemela pasipo kutuarifu wa tena wao?
 
Tunashukuru kwa pongezi zako.

Tutaendelea kuongeza ili muendelee kufaidi huduma zetu kwa ubora na viwango vya kimataifa
 
Serikali yenyeakili mgando hulenga kufyonza zaid na zaid kutoka sehem ambayo hata maskini anaponea.

Serikali yenyeakili mgando haijusumbui na mapato kutoka matajiri, wafanyabiashara wakubwa, migodi nk.

Hii ndiyo serikali sikivu ya kidhalimu ya ccm, uwizi, ubabaishaji na ubadhilifu haviwezi kutupunguzia umasikin

- Maisha bora kwa kila mtanzania

-Ninapoondoka madakani nitakuwa rais wa mwisho wa Tanzania maskini .....nitaiacha Tanzania ikiwa tajiri!!!!!!!

CCM ni janga kwa watanzania na vizazi vyetu.
 
Hata mie nawashukuru sana....wanajitahidi kwa kweli........kwenye maji napo waongeze kiasi maana gharama za uendeshaji zinazidi kupanda...bidhaa za viwandani waangalie namna ya kufanya....pale kwa kinyozi waongeze bei kidogo....na ikibidi na.........
 
Mkuu hii sio kwamba ndio iliyopanda kuanzia mwanzo mwa mwaka huu ?

Alafu ninwashauri watu kama wanatumia chini ya UNITS 75 kwa mwezi waende TANESCO wakabadilishiwe TARRIF, wengi hawajui hili na bila kuwaambia wanauchuna na unakuwa unalipa service charge as well as 306 per Unit badala ya tshs 100
 
Ninapenda kushukuru uongozi wa shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) kwa kuongeza bei kubwa ya umeme [size=+2]kuanzia mwezi huu wa August 2014.[/size] Ni matumaini yangu kuwa makusanyo zaidi ya fedha yatawezesha watawala wetu kupata mahali pa kuchukulia fedha bila mizengwe. Hongereni sana.

Downloads | Tariffs

Poster, you should do a mini survey before exploding!
 
Hata hivyo Hii nchi ni yawachache so let them do whatever they want..!😜


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hii sio kwamba ndio iliyopanda kuanzia mwanzo mwa mwaka huu ?

Alafu ninwashauri watu kama wanatumia chini ya UNITS 75 kwa mwezi waende TANESCO wakabadilishiwe TARRIF, wengi hawajui hili na bila kuwaambia wanauchuna na unakuwa unalipa service charge as well as 306 per Unit badala ya tshs 100

Hata mimi nashangaa huyu mleta uzi!
Kadiri nijuavyo tariff zimepanda tangu January, 2014. Hii attachment aliyoleta hapa si ya Aug, 2014!
 
Mkuu hii sio kwamba ndio iliyopanda kuanzia mwanzo mwa mwaka huu ?

Alafu ninwashauri watu kama wanatumia chini ya UNITS 75 kwa mwezi waende TANESCO wakabadilishiwe TARRIF, wengi hawajui hili na bila kuwaambia wanauchuna na unakuwa unalipa service charge as well as 306 per Unit badala ya tshs 100

Hata mimi nashangaa huyu mleta uzi!
Kadiri nijuavyo tariff zimepanda tangu January, 2014. Hii attachment aliyoleta hapa si ya Aug, 2014! Kama ndivyo kazi ya EWURA ni nini sasa?
 
Mkuu hii sio kwamba ndio iliyopanda kuanzia mwanzo mwa mwaka huu ?

Alafu ninwashauri watu kama wanatumia chini ya UNITS 75 kwa mwezi waende TANESCO wakabadilishiwe TARRIF, wengi hawajui hili na bila kuwaambia wanauchuna na unakuwa unalipa service charge as well as 306 per Unit badala ya tshs 100

Tangu mwezi huu bei ya tarrif moja (1) ni shilingi 305.85 kwa watumiaji wote, hiki ndicho kiwango cha mwanzo kabisa kwa watumiaji wote wa umeme nchini.
 
Back
Top Bottom