Mopao Josee
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 280
- 1
![]()
This is life for this resident of Tandale kwa Mtogole in Kinondoni, Dar es Salaam, as he rests outside his house surrounded by perennial sewage discharged from neighbouring houses. The picture is similar in most residences in the area, with few signs that the situation will improve any time soon.
Picha kwa hisani ya IPPMedia
tabia ya watu nayo ni wachafu mambo mengine wala sio serikali,kuna mtu hapo juu anadai eti tunashangaa nini hata india new delhi yapo,hivi unajilinganisha na wale raia wa india kweli?why usiseme tuwe kama london,vienna etc?
Katika wilaya 3 za Dar es salaam inawezekana Kinondoni ndio inaongoza kwa uchafu.Halafu hii tabia ya uchafu inaambukiza.Ukikaa kwenye mtaa wa watu wachafu kuna uwezekano mkubwa na wewe utakuwa unachukulia kila kitu hivyohivyo.Mambo mengine hata hayahitaji serikali,hii ni tabia yetu watanzania wengi.
kwa hiyo unataka wananchi wachimbe mitaro na kuweka sewage systems hapa mjini na kwingineko,si ndio manake.kodi tunayolipa kila kukicha inaenda wapi?think twice before you put a comment wengine unatutia hasira maana tunakaa huku tandaleall in all lakini wananchi hatupaswi kuacha kufikili na kutatua matatizo yetu. jamani kila kitu serikali? hivi huo hapo si uchafu jamani? nimeona mitaa mingi ni michafu kupita kiasi na watu hawataki kufanya usafi ni kulalama tu. jamani tubadilike kifikra. kuacha uchafu namna hiyo kunaathiri sana afya zetu
Na hapa ni ndani ya jiji aka town,je chato je?Baadhi yetu watabisha na kukataa kwamba labda hali haiko hivyo lakini wale wanaokaa 'USWAZI' Dar es Salaam wtakubaliana na mimi kuwa Tandale kwa Mtogole inawakilisha maeneo mengi ya miji yetu ambako hali ya usafi ni msamiati usiojulikana
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()