Jamaa alikuwa anapiga story na baba yake,
Mtoto:baba me nataka kuoa
Baba:vizuri mwanangu,vipi umeshapata mchumba?
Mtoto:ndio
Baba:unataka kumuoa nani?
Mtoto:nataka kumuoa bibi
Baba:ha! Yani umuoe mama yangu?
Mtoto:ndio baba mbona we umemuoa mama yangu
Duuu kusikia hivyo mshua akachoka!!