Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Vipi wale waliolia pale theon,layna walivyokufa?Duuh wanaume wa dar bwana yaan naskia mlilia sna hadi wengine kufkia kupoteza faham baada ya mustafa kuuliwa
Vipi wale waliolia pale theon,layna walivyokufa?Duuh wanaume wa dar bwana yaan naskia mlilia sna hadi wengine kufkia kupoteza faham baada ya mustafa kuuliwa
Vipi wale wanao discuss avangers endgame..wapo kundi gani?
Niliitaja hiyo maksudi kwasababu najua nusu ya dunia wanaifuatilia hiyo..basi ulimwengu umejaa wamama kibaoWamama wenzenu tu nao.
Niliitaja hiyo maksudi kwasababu najua nusu ya dunia wanaifuatilia hiyo..basi ulimwengu umejaa wamama kibao
Huenda hata baba yako ni mmoja wa wafuatiliaji
Na wanaoiponda ni hao hao wamiliki wa deki wasio na azam kazi zao kununua cd za buku jero tu townHahahaha aisee haters mpo wengi sana, binafsi hiyo sultani naiskia tu cz kwangu sina kisimbusi cha azam, lakini shida labda kwakua imefanywa kwa lugha ya kiswahili ndio maana imedharaulika ila ingekuwa kimombo isingedharaulika, acheni watu waitizame kama nyie mnavotizama zile zinazofanana na sultani lakini hazijafanywa kwa lugha ya kiswahili....
Kumbe hata hujaiona, wazungu wanasema No research no rights to speak.Ubaya wa hiyo sultan upo wap? Au kwasababu imekua dubbed,mimi binafsi sijaingalia lakini sijaona kama imekaa kibeki tatu ukisoma story yake. Labda mnesema zile za waphilipino na wamexico ndio zimekaa kikike sana
Hahahaha inawezekana kabisa usemalo likawa na ukweli, mimi nina kisimbusi cha dstv zipo series pendwa zinafatiliwa tu huku dstv lakini kwa uzoefu wangu kwa sisi watanzania hizohizo zikifanywa kwa kiswahili zitapondwa mbayaaa kwasababu zitapata watazamaji wengi wa kila level kwani hata beki tatu anayedharaulika kiswahili anakijua, ubinafsi umewajaa wao wanaojua kimombo kutaka hizo GoT, Avengers wazione wao pekeao na tabaka lingine lisiwe na uwezo wa kuziona......Na wanaoiponda ni hao hao wamiliki wa deki wasio na azam kazi zao kununua cd za buku jero tu town
Ninavyo viwili visimbusi vya azam na nimmoja wa wanaoiita ya kifala sana nipe elfu 60 nikuachie kimojaNa wanaoiponda ni hao hao wamiliki wa deki wasio na azam kazi zao kununua cd za buku jero tu town
Yaani unaangalia hii tamthilia kabisaa!! Aisee...Hakika tamthilia hii ilituvuta wengi kwa kadri ilivyo ilivyokua na waigizaji mashuhuri,
Lakini sasa naona bora nirudi kulewa maana sultan bila hawa si chochote
Iblahim pasha
Khadije,
Niger karfa
Maiko chogro
Urojo pale jikoni,
Nasasa mustafa du!
[emoji1787][emoji1787]Usituletee umama wako humu jf(home of great thinkers) Hayo ma SULTANI YAKO DISCUS NA BEKI TATU WA HAPO JIRANI MNAEFANANA AKILI NAE SIO SISI.
Mkuu jiandae nasikia hata prison break washaanza kuiweka maneno ya kiswahili..soon hata mabeki tatu wataanza kuifurahia sijui mtajificha wapiNinavyo viwili visimbusi vya azam na nimmoja wa wanaoiita ya kifala sana nipe elfu 60 nikuachie kimoja
Tamthilia inaelwzea ottoman empire ilivyoanguka 1553 kwa mwanamke wa kirusi na mcrotia rustemaa waliidondosha hiyo empire
Mshangae huyu jamaa..Unaacha kuangalia Game of Thrones unaangalia Sultan?
What a waste of time!
Haitapendwa na wanawake kwa kuzingatia yaliyomo ndani yake. New series yake imekaa ki_Gang zaidi kuliko za awali na sidhani kama wanaweza kurusha new series kwa sababu bado inarushwa FOX wale wazee wana copyrightsMkuu jiandae nasikia hata prison break washaanza kuiweka maneno ya kiswahili..soon hata mabeki tatu wataanza kuifurahia sijui mtajificha wapi
Isharushwa azam 1 ikiwa na subtitles za kiswahili...na utaratibu wao ikitoka azam 1 inaletwa azam 2 kwa kiswahili..walirusha had season 5Haitapendwa na wanawake kwa kuzingatia yaliyomo ndani yake. New series yake imekaa ki_Gang zaidi kuliko za awali na sidhani kama wanaweza kurusha new series kwa sababu bado inarushwa FOX wale wazee wana copyrights
New series au zile za nyuma?Isharushwa azam 1 ikiwa na subtitles za kiswahili...na utaratibu wao ikitoka azam 1 inaletwa azam 2 kwa kiswahili..walirusha had season 5
Unamaanisha new season au..kwasababu tunaizungumzia series ya prison breakNew series au zile za nyuma?