Tamko la UVCCM TAR 13.1.2016

Tamko la UVCCM TAR 13.1.2016

Ndg zangu tufike hatua unafiki tuuweke pembeni na pale penye ukweli tujitahidi kuukubari na kuomba radhi huku tukirekebisha tulipokosea! Kitendo kilichofanywa na vijana wa UVCCM Zanzibar si kitendo cha kiungwana! Imenikera kuona UVCCM inataka kudanganya kuwa wapinzani ndo wametengeneza na kutaka kulieneza kwenye mitandao ya kijamii wakati kwa macho yetu tumeona! Hata hivyo naamini nakuja kubadilisha kabisa muundo wa UVCCM 2017 pale ntakapochukua madaraka! Nasikitika kusema UVCCM ya sasa imekuwa kama mashabiki nyumbu wa Chadema wanaokuwa bendela kufata upepo! UVCCM wanajaribu kuficha maovu wakati yametendeka hadharani! Hapana! Acheni unafiki wanaccm wenzangu! Pale penye ukweli tusidanganye ili kuwafurahisha viongozi bali tusimamie ukweli! Kwani mkiwa wakweli na kukemea ule ujinga wa UVCCM ZANZIBAR mtapata dhambi? Acheni maisha ya kukipendekeza ili baadae mpewe ukuu wa wilaya kama Makonda! Fanyeni kazi na kama hamtafanya kazi 2017 sio mbali ntakua nimekalia hicho kiti na ntakachofanya hamtakisahau!

wewe lazima uwe mwe*hu
 
THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF- Chama Cha Wananchi)

Office of the Secretary General
Party Headquarters, P.O. Box 3637, Zanzibar, Tanzania

Date: 25 November, 2015

Your Holiness
The Pope of the Catholic Church
The Holy See
Vatican

Your Holiness,

We, from a small island of Zanzibar in the Indian Ocean offer our greetings, and wish to express our admiration for your people-based approach to the problems of this world.

Zanzibar has had a long history of trade and inter-cultural relations between different peoples and religions that have been based on not merely tolerance but respect for different cultures and religions for hundreds of years.

When a Christian missionary asked the Sultan of Zanzibar in 1840 for permission to build a Christian mission in his territory, the Muslim Sultan described him as a ‘man of God who wants to spread the word of God.’

WhenZanzibar achieved its independence in 1963, the highest denomination of its commemorative stamp was on the theme of religious tolerance, showing the Catholic and Anglican cathedrals, a Sunni and Shia mosque, and a Hindu temple, which have co-existed within stone’s throw of each other without religious tensions and conflicts.

We are sorry to say that this long tradition has begun to crack, but the reasons very often are not religious but political disempowerment and deprivation of our
inalienable rights. The case in point is the recent election on 25th October, 2015.

Even apologists of the ruling party now admit that the Civic United Front has won every election since the restoration of the multi-party system in 1995, but it has never been allowed to rule.

In this year’s election, every election observer team had concluded that the election was peaceful, free and fair; but when it appeared that the ruling party was losing – and the results are widely known - its Zanzibar Electoral Commission Chairman appointed by the ruling party’s President abruptly and unconstitutionally annulled the election.

Instead of taking a corrective action against this illegality, the Union Government where the ruling party has won has been supporting the Zanzibar state with its police and armed forces threatening dire action.

Zanzibar is a predominantly Muslim country, so there is not a religious divide at all, but failure by the people to achieve their democratic rights through the ballot after 20 years of elections may drive some discontented youths to extra-democratic paths of which our world is seeing too much of these days.

It is for these reasons that we appeal to Your Holliness to exercise your considerable moral influence over the Tanzanian Government to arrest this sense of hopelessness and helplessness before it is too late.

It has been three weeks since the elections were held, and economic activities are coming to a haltamong people gripped in fear and foreboding about the future of their country, which may damage our long tradition of inter-cultural and inter-religious harmony.

Yours faithfully,

Seif Sharif Hamad
First Vice President of Zanzibar
Presidential Candidate
 
UJUMBE MFUPI KWA MAALIM SEIF!.

BINAFSI NIMEZIDI CHUKIWA NA HII BARUA YA MAALIM SEIF, KIUKWELI SITO OGOPA KUSEMA.

UKISOMA KWA MAKINI BARUA YA MAALIM SEIF ALIYOMPELEKEA PAPA INAONYESHA WAZI,KUWA MAALIM SEIF SI KIONGOZI WA SEREKALI YA MAPINDUZI.

NIMEGUNDUA AMEMDANGANYA PAPA KUWA ZANZIBAR ILIPATA UHURU MWAKA 1963 HUKU AKIJUA FIKA ZANZIBAR ILIJIKOMBOA KWA MAPINDUZI YA MWAKA 1964!. ILA AMESAHAU KUWA YEYE NI MAKAMO WA RAISI WA SEREKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR NA SIO NJENGINE.

HALI HII IMENISTUA ZAIDI MIMI KAMA KIJANA, NAOMBA SEREKALI ITAZAME KWA MAKINI SANA UPOTOSHAJI HUU UNAO PELEKWA NA MAALIM NJE YA NCHI.

HUU NI UNAFIKI WA KIMATAFA!.

UKWELI NI KWAMBA,AMEPORA HAKI YA WAZANZIBARI KUWASEMEA ZANZIBAR IMEPATA UHURU 1963 HUKU AKIACHA KUSEMA UKWELI WAZANZIBARI WANATAMBUA MAPINDUZI YA 19964.

TUNASEMA KUWA SISI VIJANA TUTALINDA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KWA GHARAMA ZOTE.
 
Urio, Urio mbona unajichanganya ama huelewi? Hakuna anaepinga ya kwamba Zanzibar ilipata Uhuru 1963. Mwaka 1964 Zanzibar ilipindua ndio maana ya Mapinduzi. Huo ndio Ukweli na record zipo duniani hata UN. Wacha Uchotara wako huo
 
Mbona hakulaani lile bango huyu mpuuzi.eti anazungumzia uhakali wa tume nani kamuuliza mambo ya uhalali wa tume .kweli wameishiwa wanaweweseka kuhusu uhalalibwa tume? Mtakwisha tu subirini
 
Huyu mbutika anasema ccm haina ubaguzi kwa wapemba na waunguja .mbona huyu huyu ndio anaandika matusi ya nguoni na yakuwagawa wazanIbari pale kwenye bango lao la kisonge? .ccm wanasema walishindwa mechi ya HOME sasa wanataja warudie uchaguzi AWAY .hahaa mkipigika mnataka mechi ya marudio
 
Wewe ni raisi wa wasiojua kitu .katika barua nzima umeona suala la tarehe tibna mambo ya mwaka .hukusema kwamba aliyoyaeleza ni kwelivau uongo , u are discuss minor issue of date .zanzibar ilipata uhuru wake 1963 fanya utafiti .na tofautisha uhuru na mapinduzi
 
Hhahahahahahah....Eti

UVCCM tumesikitishwa na tunalaani vikali kitendo kilichofanywa na vyama vya siasa vya kuunganisha picha za wana-CCM watiifu na kuwanasibisha na maneno ambayo hayana uhusiano nao tofauti na maudhui ya ujumbe uliokusudiwa, kitendo hicho kilikuwa na nia ya kutaka kuwagawa na kuwafarakanisha wana-CCM kwa kisingizio cha ukabila

Hhahahahahahahahaha
KudaDEKI Zenu ninyi wabaguzi CCM
Hawa uvccm ni wapuuzi kweli kuna mabango mangapi yameonekana mitaani. Mmellelewa vibaya
 
Duh naona sarakasi zinaanza hapa, kweli hiki chama cha mapinduzi ni laana kubwa. Tumeona kwa macho yetu kwe Luninga lakini hapa tunaambiwa wale vijana wabaguzi waliokuwa wanatekeleza sera za ubaguzi za chama chao eti walilishwa maneno na wapinzani. Hawa mafisiemu hawana mshipa wa aibu
 
Urio, Urio mbona unajichanganya ama huelewi? Hakuna anaepinga ya kwamba Zanzibar ilipata Uhuru 1963. Mwaka 1964 Zanzibar ilipindua ndio maana ya Mapinduzi. Huo ndio Ukweli na record zipo duniani hata UN. Wacha Uchotara wako huo
Wewe ni raisi wa dunia wa upuuzi .pinga mambo muhimu yalioandikwa kama ni uongo au ukweli unakuja na minor issue ya vitarehe na mwaka wewe umeona hilo tu .kweli mbutika ni wengi!
 
Back
Top Bottom