Hawa wanageuzia kibao kamati ya nishati kwani maelelezo yao yaliendana na ya Waziri? Siyo kwamba walipingana na ndio maana Mbowe anahoji kamati inayoongozwa na mwanachama wa CCM kupingana na Serikali?
No wonder unataka uandikiwe rekodi ya BANNyie kila siku tamko,do something for godsake
Magamba yalibadili Kanuni za Kudumu za Bunge ili kupata mrija wa kunyonya rasilimali zetu!Hawa wanageuzia kibao kamati ya nishati kwani maelelezo yao yaliendana na ya Waziri? Siyo kwamba walipingana na ndio maana Mbowe anahoji kamati inayoongozwa na mwanachama wa CCM kupingana na Serikali?
Hawa wanageuzia kibao kamati ya nishati kwani maelelezo yao yaliendana na ya Waziri? Siyo kwamba walipingana na ndio maana Mbowe anahoji kamati inayoongozwa na mwanachama wa CCM kupingana na Serikali?
Daah ni kweli aiseee....kama bunge linalotunga sheria linahongwa je itakuwa vipi kwa chombo kinachosimamia sheria? namanisha mahakama..au ndio mnataka sasa hivi tutamke wazi mahakama zetu zinaendesha na watu wenye uwezo tu ndio wapinzani na maskini ndio kila siku wanashtakiwa mahakamani....hii ni haki, kina Farijala japo wameiba kesi yao tayari lakini kesi ya Rostam Aziz na Chenge babo..Nchi inanuka kwa wizi na rushwa... Maskini wanaendelea kuwa maskini, viongozi wanajilimbikizia mali. Sasa km jamaa wamehonga bajeti ipite, nini maana ya bunge???!! Kilichobaki ni bunge kuvunjwa na kuitisha uchaguzi mpya. Bunge la 2010-2015 limejaa UOZO WA CCM!!!
Kamati kazi yake ilikuwa kuikataa bajeti wakati wa Kamati, siyo kuikubali halafu waje kuipinga bungeni. Hapa ndipo harufu ya rushwa inaponuka. Na hasa ni usanii kupitisha bajeti kwenye Kamati kisha kuja kuikosoa kwenye Bunge
Nimekusoma. Je kama walitoa ushauri haukuzingatiwa wangefanyaje na Waziri kaamua kupeleka kama ilivyo?
kama walipingana kimaelezo, kwa nini kamati ya nishati na madini waliipitisha isomwe na kujadiliwa bungeni? Kuna haja gani ya kumruhusu mgeni aingie ndani halafu uanze kumfukuza? Kamati imepewa mamlaka kisheria, kuzuia bajeti isije bungeni. Kamati hiyo ni kweli walikula rushwa, wachunguzwe.Hawa wanageuzia kibao kamati ya nishati kwani maelelezo yao yaliendana na ya Waziri? Siyo kwamba walipingana na ndio maana Mbowe anahoji kamati inayoongozwa na mwanachama wa CCM kupingana na Serikali?