Tamko la SIKIKA kuhusu rushwa - Wizara ya Nishati na Madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la SIKIKA kuhusu rushwa - Wizara ya Nishati na Madini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Jul 19, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Press statement, Tuesday 19 July 2011

  The Case of Energy Ministry: Investigate all Parliamentary Standing Committees!

  The withdrawal of the Ministry of Energy and Minerals' budget during the Parliamentary debate is evidence that the responsible Parliamentary Committee either intentionally or unintentionally, did not perform their prerogative role of scrutinizing the budget well.

  An independent investigation inquiry should be set up to look into the possibility that Parliamentary Standing Committees may have been bribed by the government in order to approve ineffective public budgets.

  The media is awash with reports that the Prime Minister, Mizengo Pinda, shelved the budget for the Ministry of Energy and Minerals for three weeks following a fierce debate over the current power and mining crisis. Lately, the Permanent Secretary for the Ministry of Energy and Minerals, David Jairo, had written a letter to agencies and institutions under his ministry directing them to contribute Tsh 50 million each in order to facilitate smooth tabling of his Ministry's budget.

  This seems to have been the usual tradition as part of the letter states "...kama ilivyo kawaida wakati wa kuwasilisha hotuba ya bajeti Dodoma..." although this time business turned out to be not as usual, rather a saga.

  It was also reported in the media in the past few weeks that the Parliamentary Standing Committee responsible for the Ministry of Energy and Minerals may have been bribed to approve the Ministry's budget in Dar es Salaam. The feeling among the public is that the case of the Ministry for Energy and their respective Parliamentary Committee is not an isolated one.

  Apparently, similar trends have been observed regarding other ministries. For example, most public institutions usually organize for seminars with the Parliament before the budget debate for their respective ministries. These seminars may possibly be meant to pay MPs in order for their budget loopholes to go unchallenged.

  Tanzania is faced with perennial problems emanating from poor oversight of the government by the Parliament. Some of these problems include unprofitable business contracts, grand corruption scandals, public budgets fraught with unnecessary expenditures, poor public financial management, and abuse and misuse of public funds.

  Since both the Parliament and Government are implicated in this bribe scandal, an independent body should be tasked to form an independent probe committee to investigate these allegations of the government bribing the parliament. Corrective measures should then be taken against those found responsible.

  Mr. Irenei Kiria
  Executive Director of Sikika,
  P.O.Box 12183 Dar es Salaam,
  Tel: +255 222 666355/57,
  Fax: 2668015,
  Email: info@sikika.or.tz, Website: www.sikika.
   
 2. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nchi iko hatarini. Kama viongozi wanadiriki kuhonga ili bajeti ipite. Watz tujue tuko kwenye wakati mgumu. Rais wetu kweli analionaje hili na jana tu amekwee pipa kwenda sa. Pia gazeti la kenya lilivyosema kuhusu rais wetu - safari zake
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Nyie kila siku tamko,do something for godsake
   
 4. ANKOJEI

  ANKOJEI JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  it is a fact without doubt, Jairo how can you dare to do so? and why? what is the benefit for him? our mp are all the way heading us to hell!
  now we know the problem, the solution is around the corner
   
 5. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi inanuka kwa wizi na rushwa... Maskini wanaendelea kuwa maskini, viongozi wanajilimbikizia mali. Sasa km jamaa wamehonga bajeti ipite, nini maana ya bunge???!! Kilichobaki ni bunge kuvunjwa na kuitisha uchaguzi mpya. Bunge la 2010-2015 limejaa UOZO WA CCM!!!
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Hawa wanageuzia kibao kamati ya nishati kwani maelelezo yao yaliendana na ya Waziri? Siyo kwamba walipingana na ndio maana Mbowe anahoji kamati inayoongozwa na mwanachama wa CCM kupingana na Serikali?
   
 7. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Afadhali na wewe umegunduo uongo huu
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  No wonder unataka uandikiwe rekodi ya BAN
   
 9. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "kamailivyo kawaida yao" kwa kweli hii ni hatari kwa nchi? ndo maana? unaona mbunge anapiga kelele weeeeeeeeeeeeeeee lakin mwisho wa siku nasapoti bajeti mia kwa mia? hahahaa kweli wanamagamba mnamambo halafu sahz mnasifu gvt kuondoa bajeti? haya tugeuzeni watoto lakin ur day will come
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Magamba yalibadili Kanuni za Kudumu za Bunge ili kupata mrija wa kunyonya rasilimali zetu!
   
 11. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kamati kazi yake ilikuwa kuikataa bajeti wakati wa Kamati, siyo kuikubali halafu waje kuipinga bungeni. Hapa ndipo harufu ya rushwa inaponuka. Na hasa ni usanii kupitisha bajeti kwenye Kamati kisha kuja kuikosoa kwenye Bunge
   
 12. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Watanzania sasa wakati umefika...Tujivue gamba la woga na ubinafsi,tuamue kwa dhati na kivitendo kuukataa huu uhuni unaofanywa na serikali ya CCM na wabunge wao!Hili lililoibuliwa wizara ya nishati na madini ni ishara dhahiri ya uozo uliopo kwenye serikali ya JK,na ni sababu tosha ya kuiondoa madarakani.Tusisubiri 2015,tuunganishe nguvu zetu sasa!
   
 13. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daah ni kweli aiseee....kama bunge linalotunga sheria linahongwa je itakuwa vipi kwa chombo kinachosimamia sheria? namanisha mahakama..au ndio mnataka sasa hivi tutamke wazi mahakama zetu zinaendesha na watu wenye uwezo tu ndio wapinzani na maskini ndio kila siku wanashtakiwa mahakamani....hii ni haki, kina Farijala japo wameiba kesi yao tayari lakini kesi ya Rostam Aziz na Chenge babo..
   
 14. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma. Je kama walitoa ushauri haukuzingatiwa wangefanyaje na Waziri kaamua kupeleka kama ilivyo?
   
 15. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  1. Kwenye ripoti yao hawakulalamika kwamba hawakusikilizwa
  2. Kamati ina mamlaka juu ya Wizara, ilitakiwa ikatae kuipitisha bajeti kama wizara haikutekeleza maelekezo iliyopewa na kamati
  3. Tayari kulikuwepo na tuhuma za kamati kuhongwa hata kabla bajeti haijafika bungeni
  4. Huu ni mchezo wa siku nyingi wa kamati nyingi za bunge au baadhi ya wajumbe wa kamati, bahati mbaya kamati ya January imetoa siri!
   
 16. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kumbe hii chain ni ndefu nadhani J makamba nae atoe maelezo kidogo kumbu huyu Jairo asiondoke mwenyewe. Hii kamati, Ngeleja na Malima watoe maelezo ya kutosha vinginevyo Jairo watamwonea
   
 17. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Watanzania wanajua na dunia inajua serikali haitachukua maamuzi magumu.
   
 18. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Tamko linatolewa kwa watanzania then linaandikwa kwa kiingereza haya ndio mambo ya ukoloni hapo wanawaridhisha wafadhili wao futa vi NGO vya ovyo ovyo kama SIKIKA
   
 19. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama walipingana kimaelezo, kwa nini kamati ya nishati na madini waliipitisha isomwe na kujadiliwa bungeni? Kuna haja gani ya kumruhusu mgeni aingie ndani halafu uanze kumfukuza? Kamati imepewa mamlaka kisheria, kuzuia bajeti isije bungeni. Kamati hiyo ni kweli walikula rushwa, wachunguzwe.
   
 20. Mkenazi

  Mkenazi Senior Member

  #20
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama wameonga kupitisha budget ya Nishati ya madini itakuwaje kwenye kupitisha mswada wa kuunda tume ya kutafuta maoni kuhusu katiba mpya?

  Je wabunge wa upinzani na wananchi kwa ujumla tumejipanga vipi kuhakikisha katiba mpya haipatikani kwa mtindo huu?
   
Loading...