Tamko la Serikali juu ya Masomo ya Sayansi kuwa ya lazima kwa Forms I - IV lipo ktk waraka upi?

MUTARWE

Member
Feb 27, 2017
5
16
MSAADA NDUGU ZANGU

Tamko la Serikali juu ya Masomo ya Sayansi kuwa ya lazima kwa shule za Sekondari (Forms I - IV) linapatikana katika Waraka upi wa Serikali?

Natanguliza shukrani kwa msaada wowote.
 
Waulize Wakuu wa shule, wamiliki wa shule binafsi na maafisa elimu na taaluma watakuonyesha au kukupa maelezo.
 
Elimu ya Tanzania imekuwa Kama practical kila anaekuja na lake duuu Ngoja tuone outcomes nin
 
MASADA NDUGU ZANGU

Tamko la Serikali juu ya Masomo ya Sayansi kuwa ya lazima kwa shule za Sekondari (Forms I - IV) linapatikana katika Waraka upi wa Serikali?

Natanguliza shukrani kwa msaada wowote.
tamko lilitoka mdomoni na liko kwenye magazeti. kasome magazeti ya kipindi ambacho mtakaji alitamka
 
Back
Top Bottom