Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,552
Mfumo dume!!
Wewe nitajie basi, mwanamke au mwanamme, toka the founding of the nation, mtu aliyekumbwa na public repudiation akaenda kulia kwenye stage.
Ulimbukeni!
Ulinganishe na nani? Sio lazima utupime na wengine. Sisi Watanzania, bila kuangalia through the prism ya tamaduni nyinginge, sisi wenyewe hatulilii hadharani tukikumbwa na kashfa!!
Pinda kafungua dimba la kitabia cha kutumia pulpit kujilizaliza amidst a public debacle. Kama kuna mwingine nitajie basi!!!
"Character"? Nani kasema Pinda ana luck character? Nimesema Pinda is erratic.
Sisumbuliwi na kile alichosema? Sasa kwa nini ningesema Pinda hana judgment to hold the office of Prime Minister?
Muullize mwananchi huyo machungu atakayokuwa nayo kwani kuku huyo pengine alikuwa ni wa sherehe ether krismasi ama idi ama graduation ya mtoto ama mjukuu kumaliza darasa la saba ama form four nk. Ni kwamba kuku huyo kwa wengine ni big deal kiasi cha kutoa maisha ya mtu mwingine?
.
Hujui kwa uhakika ni nini kilichomfanya Pinda kuonyesha hisia.
Mfumo dume!!
Wewe nitajie basi, mwanamke au mwanamme, toka the founding of the nation, mtu aliyekumbwa na public repudiation akaenda kulia kwenye stage.
Ulimbukeni!
Ulinganishe na nani? Sio lazima utupime na wengine.
Sisi Watanzania, bila kuangalia through the prism ya tamaduni nyinginge, sisi wenyewe hatulilii hadharani tukikumbwa na kashfa!!
Pinda kafungua dimba la kitabia cha kutumia pulpit kujilizaliza amidst a public debacle. Kama kuna mwingine nitajie basi!!!
"Character"? Nani kasema Pinda ana luck character? Nimesema Pinda is erratic.
Sisumbuliwi na kile alichosema? Sasa kwa nini ningesema Pinda hana judgment to hold the office of Prime Minister?
angalia maneno yako huko nyuma...
sijawajui wote waliowahi kukumbwa na Public repudiation? so you tell me wote ambao walilkutwa na public repudiation tangu kuundwa kwa taifa letu.
Haifanyi hoja yako kuwa na nguvu, bali kunathibitisha udhaifu wake.
Ni wewe unayetulinganisha na watu wengine. Kumbuka unasema kina nani wanatabia ya kulia hadharani...!
wewe na nani?
angalia jibu langu hapo juu.
Yuko erratic kwa sababu analia, au erratic kwa sababu kasema vitu vya hatari. I know your answer.
kwa sababu umesema analia hadharani. Angalia tena sentensi yako.
Nyani...Ni speculations tu...Wengine wanadai alilia uwaziri mkuu,wengine wanadai alilia albinos na wengine wanaamini alilia kwasababu alishindwa kufanya something.
Mimi sina haja ya kujua ni kwanini hasa alionyesha hisia ila outcome za hii back and forth certainly unaweza ukatabiri based on your knowledge kuhusu wananchi wa Tanzania.
Duu, hii imenipeleka shule ya msingi enzi hizo fulani hajazaliwa. Kulikuwa na vile vitabu vya MALIMWENGU, ila sikumbuki namba. Jamaa waliokolewa kutoka kwenye mikono ya zimwi. Mazimwi walivyokuja kushtuka jamaa haoo wako hewani. Wakaishia tu kusema "Nyama yetu inakwenda......" na hapo vumbi likatimka, jamaa wakikimbilia NYAMA YAO. Sasa huyu Kuku wa graduation, mtu anapoteza maisha, jamani!!! Kweli Tanzania nchi masikini. Kibaya zaidi Mnauwa mtu, kisa kaiba kuku wa PASAKA. Sasa hata PASAKA haina maana tena.
- yeye haaamini kuna makosa.. ni nyinyi "mnaona"Kama mnaona kile nilichofanya ni makosa naomba mnivumilie. Naomba Mungu anisamehe kama nimewakosea
- Kamwe hakusema hilo!(Habari Leo) Huku akifuta machozi, aliendelea kusema iwapo kuna Mtanzania ambaye anaona kuwa ametenda uovu kuliko maovu yote katika suala hilo la albino na iwe hivyo, lakini nia yake ilikuwa nzuri
- what?(Tanzania Daima) Nikawaonya kuwa sisi kama serikali hatuwezi kuvumilia hali hii, nilifanya hivyo nikiamini kuwa lugha hiyo ya kuwatisha itasaidia. Sasa kama Watanzania wanaona nimefanya ovu vema, lakini nia yangu ilikuwa njema kabisa. Naomba mnisaheme sana kama nimekosea
-(Gazeti la Mwananchi) Kama mnaona kile nilichofanya ni makosa naomba mnivumilie. Naomba Mungu anisamehe kama nimewakosea
(Nipashe)Ndugu zangu, mauaji ya maalbino yanasikitisha. Lugha niliyoitumia ilikuwa ni kuwatisha wauaji ili wajue kuwa serikali sasa imedhamiria kukabiliana na vitendo hivyo, lakini kama wapo wanaoona nilifanya kosa kuliko hilo la mauaji ya maalbino, basi naomba Mungu anisamehe na Watanzania pia
Damn! I'm dizzy......
Oh yeah...."wakati mwingine" Kuhani huwa ana pointi kama ilivyo watu wengi...
Kwa wanaomjua Pinda vizuri na hata wale wanafuatilia michango yake bungeni sidhani kama wanaweza kusimama kidedea kutetea kuwa hakusema maneno hayo. Huyu Mheshimiwa ana sifa ya kusema anachokifikiri bila kumung'unya maneno. Wakati mwengine inasaidia sana kuwa na kiongozi kama huyo lakini wakati mwengine ni hatari. Huu ndio mfano wake...
Nadhani itakuwa busara kwa Pinda kutoa ufafanuzi wa hili na pia kuonyesha uungwana wake kwa kukubali kuwa alikosea.
Tanzanianjema
(Tanzania Daima) Nikawaonya kuwa sisi kama serikali hatuwezi kuvumilia hali hii, nilifanya hivyo nikiamini kuwa lugha hiyo ya kuwatisha itasaidia. Sasa kama Watanzania wanaona nimefanya ovu vema, lakini nia yangu ilikuwa njema kabisa. Naomba mnisaheme sana kama nimekosea
Je Pinda alisema nini katika kuomba msamaha? Wakati mwingine Kuhani anakuwaga na point yaani hata kusikiliza hotuba yenyewe inakuwa ngumu? Sikiliza alichosema Pinda uamue mwenye kati ya hizo version tano ni NINI HASA pinda alisema
Mwanakijiji,
Naona, for once, ume-appreciate baadhi ya ninavyovisema kuhusu press ya Tanzania. Ahsante.
Huo hapo ndipo mfano ninaouzungumzia... tayari press imekuwa "yenu".. sasa kama ni yetu kwanini usiiache tu?Katika hotuba ya Pinda, na kwa hapa ahsante tena kwa hisani ya media outlet yako, kuna makorokosho mengine ya kizushi kutoka press yenu.
Lakini na wewe Mwanakijiji kabla hujakosoa huo msamaha wa Pinda wa kama nimekosea, inabidi uanze kwa kusema kwamba taarifa uliyoileta hapa kwamba kuna unconditional apology on the way haikuwa reliable, vinginevyo usingerudi kwenye ile original sham apology.
Ile taarifa uliyoweka hapa imechota watu kibao, Pinda heko, Pinda ka-apologize, Pinda hivi na vile, halafu sasa unarudi kwenye original qualified apology ya kama nimekosea.
Weka disclaimer kwamba lile li-taarifa lako lilipotosha, vinginevyo na wewe au unachangia confusion ama upotoshaji wa putrid news outlets za Tanzania.