Tamko-la-MUWAZA-(Katiba-Mpya)

Mjadala shihi kwetu na kubwa kuliko yote nchini ni huu hapa unaohusu kuleta suluhisho la kudumu kwa wananchi kujiundia Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi mapema iwezekanavyo.

Hongereni sana MUWAZA kujitupa kwenu kwenye mjadala huu. Chonde Moderators turudishieni threads zote za mambo ya katiba hapa jukwaa kuu si huko uchochoroni.
 
Hebu chukua muda kidogo wewe mwenyewe ukajisikilizia maudhui ya ulichokiandika na ukapitie katiba ya muungano ukajisomee maelekezo ya juu ya haki na uhuru waliyonayo Wa-Tanzania popote pale walipo na sauti yao kuendelea kusikika.

MUWASA, nadhani lake huyu mwenzetu huenda ilikua ni ka-ajali kadogo tu kwenye keyboard yake.

Kama uko nje ya nchi yako usiongee lolote kuhusu mambo ya Nchi yako,kama uko ndani ya Nchi yako Shiriki asilimia 100 kujenga Nchi yako(Churchil UK PM)!
 
Bado munakiza sna vijana munahitaji tochi na mamji ya uzima,,,hivi watanzania walioko njee hawawezi kushiriki kikamilifu katika kujenga nchi ? Tulia kijana,kama hujui tanzania inajengwa na wasomi wa kitanzania waliko njee ya tanzania,,tunaheshimika sana,,,muulize baba yako kikwete na mrema,,,
 
Hao ni wakimbizi tu hawana maana yoyote!
 
Bado munakiza sna vijana munahitaji tochi na mamji ya uzima,,,hivi watanzania walioko njee hawawezi kushiriki kikamilifu katika kujenga nchi ? Tulia kijana,kama hujui tanzania inajengwa na wasomi wa kitanzania waliko njee ya tanzania,,tunaheshimika sana,,,muulize baba yako kikwete na mrema,,,

Hivi kwa uelewa wako hao watu wako wa nje nao Wanajiita Wazalendo? Kwanza wengi wanasafisha vyoo tu hawana kazi yoyote na wakipata muda wanaingia JF! Kwa mtazamo wako una ona watu walio abroad wako smart sana upstairs! Dada yangu usijidanganye nao hawana mbele wala nyuma!
 
Tulia kijana,sisi hapa tupo kwa ajili ya serikali ya tanzania,imetulipia ada kusoma,na mijengo ya kusihii,sasa tupo kama maproffesor,,kikwete akishndwa huja huku kuomba msaada,na serikali sisi inatulinda kwa nguvu zote,,,hiyo barua inasikilizwa na viongozi wote,kama wewe hutaki basi kaa kimpya ,,kama hukusoma anza veta ujajifunze japo kuchonga ubao ikisha tutakusaida scholership,,,upeo wako mdogo
 
hivi kwa uelewa wako hao watu wako wa nje nao wanajiita wazalendo? Kwanza wengi wanasafisha vyoo tu hawana kazi yoyote na wakipata muda wanaingia jf! Kwa mtazamo wako una ona watu walio abroad wako smart sana upstairs! Dada yangu usijidanganye nao hawana mbele wala nyuma!
. Ama kweli great thinker wewe hongera. Made in tanzania
 
. Ama kweli great thinker wewe hongera. Made in tanzania

Hajui kuwa nchi kama Bangladesh kipato cha nchi kinachangiwa kwa percent kadhaa na hao anaojidai hawawezi kujenga nchi. Msamehe yeye kaishia tu kigoma mwisho wa reli hata jrani zetu wa Rwanda na Burundi hajawatembelea tumsamehe. Kama kuna watu wanaweza kuleta mapinduzi ya haraka basi ni hawa wa nje kama watapata support ya kuwa link na hawa wa ndani. Thanks to Amrica Army to bring to us internet for communication Mungu azidi kuwa fanya majogoo wa dunia.
 
Back
Top Bottom