Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
*Ndugu waandishi wa habari*
Nimewaita hapa leo kuelezea masikitiko yetu sisi kama Baraza la vijana wa Chadema (BAVICHA) mkoa wa Manyara juu ya upendeleo wa wazi unaofanywa na JESHI LA POLISI hapa nchini,
Leo vyombo vya habari vimemnukuu kaimu katibu mkuu wa Uvccm ndugu Shaka kwamba wapo Dodoma na wanawatafuta Vijana wa Bavicha,
Kauli kama hizi zimejaa uchokozi lakini pia ni dharau ambayo ni dhahiri kwa vijana wengine taifa hili,
Tutalishangaa sana Jeshi la polisi kama halitamkamata na kumchukulia hatua kali za kisheria ndugu Shaka kwa maneno yake haya ya kichochezi,
Hivi UVCCM wanaweza kuwazuia BAVICHA?
na kama jeshi la police halina upenndeleo kwanini lisiwakamate hao UVCCM wanaosema wamewasubiri BAVICHA dodoma wakati suala la kuwazuia BAVICHA ni la police na sio la UVCCM kama walivyosema wenyewe kwamba hawahitaji msaada wa kipolice kwa watu wasio na mafunzo??
au UVCCM ni kikosi B cha police kuwazuia BAVICHA?
Au wanasema hadharani kwasababu wamevaa koti la POLISI ...viongozi wa BAVICHA walisema tunakwenda dodoma hata kabla hawajafanikisha zoezi wakakamatwa na kufunguliwa kesi ya uchochezi ila UVCCM wamesema tayari wako dodoma ila POLISI wako kimya,
Rai yangu kwa Jeshi la polisi kama kweli hawatumiki na vyama vya siasa tunawaomba wawasake hawa UVCCM walioko Dodoma na kuwafikisha mbele ya sheria naomba ikumbukwe kuwa wanachama wa BAVICHA wako nchi nzima ikiwemo Dodoma, kauli hii ya ndugu Shaka itawafanya Bavicha wanaoishi Dodoma wa kuishi kwa wasiwasi mkubwa, sasa sisi vijana wa Manyara hatutakubali kuona vijana wenzetu wanakosa amani ya kwa sababu Polisi wameamua kuwabeba UVCCM,
pia nishauri ndugu Shaka awe anaomba ushauri kabla ya kutoa kauli za hovyo kama hizo, Vijana wa tanzania watakushangaa na pengine kuamini kuwa zile tuhuma za kuwa anamahusiano na wanaume wenzake wa Mombasa zinaweza tukaziamini sasa, kwa kitendo cha kwenda kutangaza hadharani kuwa unawatafuta wanaume wenzake inazua Majadala mzito kwa kuwa kauli hii ina tafsiri nyingi.
Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
*Imetolewa* _18/07/2016_ BABATI.
*Frank Oleleshwa*.
0787933339/0655264709
M/kiti wa Bavicha mkoa wa Manyara.