Tamko la kukanusha kinachoitwa CHADEMA-Asili

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema mpaka dakika ya sasa.

Pili nipende kuwapongeza sana vijana wote wa mkoa wa Arusha na nchi nzima kwa ujumla kwa jinsi walivyojitokeza kwa nguvu zao zote kufanya maandalizi ya umoja wa kupinga udikteta Tanzania yaani UKUTA ambayo yalikuwa yafanyike Sept 1. Hongereni sana.

Agizo la kuaandaa na kutekeleza UKUTA lilitoka ndani ya chombo cha juu sana cha chama chetu yaani kamati kuu. Na tokea limetolewa kwa ngazi za kitaifa, kikanda, kimkoa, kiwilaya, kimajimbo, kikata, na mpaka kwenye misingi hakuna kijana yoyote wa CHADEMA mkoa wa Arusha aliyepinga kwa namna yoyote ile. Maandalizi yalifanyika kwa kiwango cha juu sana mpaka hapo busara za viongozi wetu wa juu zilipotumika kusitisha kwa muda wa mwezi mmoja.

Sisi vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tumepokea kwa mikono miwili agizo la kusitisha kufanyika kwa UKUTA tarehe 1 Sept kwa lengo la kuwapa muda wa mwezi mmoja viongozi wetu wa kidini kukutana na mtukufu Rais Mh John Magufuli.

Tunazipongeza sana busara hizi walizozionyesha viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh. Freeman Mbowe na mzalendo wa kweli mzee wetu Mh Edward Lowassa.

Sisi vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tutaendelea kufanya maandalizi ya UKUTA mpaka tarehe 1 Oct kwa ngazi zote za chini kama viongozi wetu walivyotuagiza huku tukisubiri majibu ya viongozi wetu wa dini baada ya kukutana na Mh mtukufu Rais. Niwahakikishie tumejipanga vizuri na tunaendelea kujipanga zaidi.

Tumeona kiandiko kinachosambazwa na bwana mmoja anayejiita John Ole Kapara wanaojiita CHADEMA-Asili. Kinachozungumzia kutoridhishwa na hekima na busara za Mh. Mbowe na Mh. Lowassa kwa kupokea ombi la viongozi wetu wa kiimani na kuendelea kusema amewasiliana na viongozi hao wa kidini na familia ya baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere na kuambiwa hawajawahi kuwasiliana na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA.

Kwanza vijana wenzangu wa CHADEMA nawaomba mlipuuze andiko hilo kwa kuwa halina mashiko kabisa hata kiuandishi na huyo bwana John Ole Kapara hafahamiki anaishi sehemu gani hapa mkoani Arusha.

Hii ni mbinu na mikakati ya CCM pamoja na vyombo vya serikali vinavyokisaidia CCM kujaribu kupunguza nguvu za vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha ambao wameitingisha CCM na serikali yake kwa kipindi cha mwezi mmoja na tumeshuhudia vyombo hivi jinsi vilivyopaniki ikiwemo jeshi la Polisi, Mwanasheria mkuu wa serikali, msajili wa vyama vya siasa na hata mawaziri wenye dhamana ya vyombo vya habari na jeshi la polisi. Tunawahakikishia vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tuko imara na kwa hii awamu ya pili tutakuja na mikakati ya tofauti kabisa.

Baada ya kuyasema hayo kwa mara nyingine nichukue tena fursa hii kuwashukuru sana vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha kwa ushirikiano ambao wamekuwa wakiuonyesha na niwahakikishie kama kiongozi wao tuko pamoja katika kipindi hiki cha kutafuta demokrasia ya kweli katika Taifa letu.

Mungu wabariki na wazidishie HEKIMA na BUSARA viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh Lowassa, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania.

Wasalaam

Exad Mamuya
Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Arusha.
 
Agizo la kuaandaa na kutekeleza UKUTA lilitoka ndani ya chombo cha juu sana cha chama chetu yaani kamati kuu. Na tokea limetolewa kwa ngazi za kitaifa,kikanda,kimkoa,kiwilaya, kimajimbo,kikata, na mpaka kwenye misingi hakuna kijana yoyote wa Chadema mkoa wa Arusha aliyepinga kwa namna yoyote ile. Maandalizi yalifanyika kwa kiwango cha juu sana mpaka hapo busara za viongozi wetu wa juu zilipotumika kusitisha kwa muda wa mwezi mmoja.

Sisi vijana wa Chadema mkoa wa Arusha tumepokea kwa mikono miwili agizo la kusitisha kufanyika kwa UKUTA tarehe 1 Sept kwa lengo la kuwapa muda wa mwezi mmoja viongozi wetu wa kidini kukutana na mtukufu Rais Mh John Magufuli.

Tunazipongeza sana busara hizi walizozionyesha viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh Freeman Mbowe na mzalendo wa kweli mzee wetu Mh Edward Lowassa.

Sisi vijana wa Chadema mkoa wa Arusha tutaendelea kufanya maandalizi ya UKUTA mpaka tarehe 1 Oct kwa ngazi zote za chini kama viongozi wetu walivyotuagiza huku tukisubiri majibu ya viongozi wetu wa dini baada ya kukutana na Mh mtukufu Rais. Niwahakikishie tumejipanga vizuri na tunaendelea kujipanga zaidi.

Tumeona kiandiko kinachosambazwa na bwana mmoja anayejiita John Ole Kapara wanaojiita Chadema-Asili.Kinachozungumzia kutoridhishwa na hekima na busara za Mh Mbowe na Mh Lowassa kwa kupokea ombi la viongozi wetu wa kiimani na kuendelea kusema amewasiliana na viongozi hao wa kidini na familia ya baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere na kuambiwa hawajawahi kuwasiliana na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kwanza vijana wenzangu wa CHADEMA nawaomba mlipuuze andiko hilo kwa kuwa halina mashiko kabisa hata kiuandishi na huyo bwana John Ole Kapara hafahamiki anaishi sehemu gani hapa mkoani Arusha. Hii ni mbinu na mikakati ya ccm pamoja na vyombo vya serikali vinavyokisaidia ccm kujaribu kupunguza nguvu za vijana wa Chadema mkoa wa Arusha ambao wameitingisha ccm na serikali yake kwa kipindi cha mwezi mmoja na tumeshuhudia vyombo hivi jinsi vilivyopaniki ikiwemo jeshi la Polisi, Mwanasheria mkuu wa serikali, msajili wa vyama vya siasa na hata mawaziri wenye dhamana ya vyombo vya habari na jeshi la polisi. Tunawahakikishia vijana wa Chadema mkoa wa Arusha tuko imara na kwa hii awamu ya pili tutakuja na mikakati ya tofauti kabisa.

HAYA SASA KAKUCHA........... wanataka chadema yao asili isyo na mafisadi kama mbowe na wenzake...
 
Wenye akili zao walishajua kwamba zile ni propaganda tu!! Hata hivyo, ingawaje mimi sio mfuasi wa CHADEMA bado nilifurahishwa na kile kipengele kilichosema (sio nukuu rasmi) ".... na ndio maana tuliweza KUIFUTA CCM Arusha!" Ndipo nikajua kwamba alah, kumbe wapwa wanafahamu kwamba washafutwa Arusha!!!!
 
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema mpaka dakika ya sasa.

Pili nipende kuwapongeza sana vijana wote wa mkoa wa Arusha na nchi nzima kwa ujumla kwa jinsi walivyojitokeza kwa nguvu zao zote kufanya maandalizi ya umoja wa kupinga udikteta Tanzania yaani UKUTA ambayo yalikuwa yafanyike Sept 1. Hongereni sana.

Agizo la kuaandaa na kutekeleza UKUTA lilitoka ndani ya chombo cha juu sana cha chama chetu yaani kamati kuu. Na tokea limetolewa kwa ngazi za kitaifa,kikanda,kimkoa,kiwilaya, kimajimbo,kikata, na mpaka kwenye misingi hakuna kijana yoyote wa Chadema mkoa wa Arusha aliyepinga kwa namna yoyote ile. Maandalizi yalifanyika kwa kiwango cha juu sana mpaka hapo busara za viongozi wetu wa juu zilipotumika kusitisha kwa muda wa mwezi mmoja.

Sisi vijana wa Chadema mkoa wa Arusha tumepokea kwa mikono miwili agizo la kusitisha kufanyika kwa UKUTA tarehe 1 Sept kwa lengo la kuwapa muda wa mwezi mmoja viongozi wetu wa kidini kukutana na mtukufu Rais Mh John Magufuli.

Tunazipongeza sana busara hizi walizozionyesha viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh Freeman Mbowe na mzalendo wa kweli mzee wetu Mh Edward Lowassa.

Sisi vijana wa Chadema mkoa wa Arusha tutaendelea kufanya maandalizi ya UKUTA mpaka tarehe 1 Oct kwa ngazi zote za chini kama viongozi wetu walivyotuagiza huku tukisubiri majibu ya viongozi wetu wa dini baada ya kukutana na Mh mtukufu Rais. Niwahakikishie tumejipanga vizuri na tunaendelea kujipanga zaidi.

Tumeona kiandiko kinachosambazwa na bwana mmoja anayejiita John Ole Kapara wanaojiita Chadema-Asili.Kinachozungumzia kutoridhishwa na hekima na busara za Mh Mbowe na Mh Lowassa kwa kupokea ombi la viongozi wetu wa kiimani na kuendelea kusema amewasiliana na viongozi hao wa kidini na familia ya baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere na kuambiwa hawajawahi kuwasiliana na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kwanza vijana wenzangu wa CHADEMA nawaomba mlipuuze andiko hilo kwa kuwa halina mashiko kabisa hata kiuandishi na huyo bwana John Ole Kapara hafahamiki anaishi sehemu gani hapa mkoani Arusha. Hii ni mbinu na mikakati ya ccm pamoja na vyombo vya serikali vinavyokisaidia ccm kujaribu kupunguza nguvu za vijana wa Chadema mkoa wa Arusha ambao wameitingisha ccm na serikali yake kwa kipindi cha mwezi mmoja na tumeshuhudia vyombo hivi jinsi vilivyopaniki ikiwemo jeshi la Polisi, Mwanasheria mkuu wa serikali, msajili wa vyama vya siasa na hata mawaziri wenye dhamana ya vyombo vya habari na jeshi la polisi. Tunawahakikishia vijana wa Chadema mkoa wa Arusha tuko imara na kwa hii awamu ya pili tutakuja na mikakati ya tofauti kabisa.

Baada ya kuyasema hayo kwa mara nyingine nichukue tena fursa hii kuwashukuru sana vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha kwa ushirikiano ambao wamekuwa wakiuonyesha na niwahakikishie kama kiongozi wao tuko pamoja katika kipindi hiki cha kutafuta demokrasia ya kweli katika Taifa letu.

Mungu wabariki na wazidishie HEKIMA na BUSARA viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh Lowassa, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania.

Wasalaam

Exad Mamuya
Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Arusha.
Ni ngumu kupinga ukweli....hata Dr.Slaa mlianzisha makala na makala kuwa ameenda likizo mwishowe...pwaaaaa!..hili la chadema asili wala halihitaji mjadala ni bomu linalosubiri kulipuka...baada ya CUF bundi anatua CHADEMA!
 
....
.....pamoja Kamanda mpaka overseas Umesikika ..Chadema chama Makini

Cc Makamanda UK
 
Mkuu sio kila kitu wanachoandika uvccm lazima tuwajibu, tutakuwa tunacheza KAKUCHA kama ccm na Serikali yake walivyocheza UKUTA wetu
 
Chadema asili ndio kitu gani??

Hivi Lowassa ni kiongozi wa kitaifa wa Chadema??
 
Endeleeni kupotea na matamko kila kukicha
 
CHADEMA ni chama makini. Hakiwezi kushindana na wendawazimu hao. Huyo tulimpuuza tayari hata kabla hajamaliza hicho kijimakala chake. Nawaomba RB iwapo itatokea wakaandamana hao wendawazimu, onyesheni uzalendo kwa kuwasaidia polisi kama mlivyotaka kuwasaidia kule Dodoma.
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema mpaka dakika ya sasa.

Pili nipende kuwapongeza sana vijana wote wa mkoa wa Arusha na nchi nzima kwa ujumla kwa jinsi walivyojitokeza kwa nguvu zao zote kufanya maandalizi ya umoja wa kupinga udikteta Tanzania yaani UKUTA ambayo yalikuwa yafanyike Sept 1. Hongereni sana.

Agizo la kuaandaa na kutekeleza UKUTA lilitoka ndani ya chombo cha juu sana cha chama chetu yaani kamati kuu. Na tokea limetolewa kwa ngazi za kitaifa, kikanda, kimkoa, kiwilaya, kimajimbo, kikata, na mpaka kwenye misingi hakuna kijana yoyote wa CHADEMA mkoa wa Arusha aliyepinga kwa namna yoyote ile.
 
Unakanushaje wewe... Kwani wewe ndio uliosema...
 
Mwisho wa siku wataibuka kweli,hapo ndio utajua anaishi wapi!
 
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema mpaka dakika ya sasa.
Agizo la kuaandaa na kutekeleza UKUTA lilitoka ndani ya chombo cha juu sana cha chama chetu yaani kamati kuu.
Pili nipende kuwapongeza sana vijana wote wa mkoa wa Arusha na nchi nzima kwa ujumla kwa jinsi walivyojitokeza kwa nguvu zao zote kufanya maandalizi ya umoja wa kupinga udikteta Tanzania yaani UKUTA ambayo yalikuwa yafanyike Sept 1. Hongereni sana.

Agizo la kuaandaa na kutekeleza UKUTA lilitoka ndani ya chombo cha juu sana cha chama chetu yaani kamati kuu. Na tokea limetolewa kwa ngazi za kitaifa, kikanda, kimkoa, kiwilaya, kimajimbo, kikata, na mpaka kwenye misingi hakuna kijana yoyote wa CHADEMA mkoa wa Arusha aliyepinga kwa namna yoyote ile. Maandalizi yalifanyika kwa kiwango cha juu sana mpaka hapo busara za viongozi wetu wa juu zilipotumika kusitisha kwa muda wa mwezi mmoja.

Sisi vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tumepokea kwa mikono miwili agizo la kusitisha kufanyika kwa UKUTA tarehe 1 Sept kwa lengo la kuwapa muda wa mwezi mmoja viongozi wetu wa kidini kukutana na mtukufu Rais Mh John Magufuli.

Tunazipongeza sana busara hizi walizozionyesha viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh. Freeman Mbowe na mzalendo wa kweli mzee wetu Mh Edward Lowassa.

Sisi vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tutaendelea kufanya maandalizi ya UKUTA mpaka tarehe 1 Oct kwa ngazi zote za chini kama viongozi wetu walivyotuagiza huku tukisubiri majibu ya viongozi wetu wa dini baada ya kukutana na Mh mtukufu Rais. Niwahakikishie tumejipanga vizuri na tunaendelea kujipanga zaidi.

Tumeona kiandiko kinachosambazwa na bwana mmoja anayejiita John Ole Kapara wanaojiita CHADEMA-Asili. Kinachozungumzia kutoridhishwa na hekima na busara za Mh. Mbowe na Mh. Lowassa kwa kupokea ombi la viongozi wetu wa kiimani na kuendelea kusema amewasiliana na viongozi hao wa kidini na familia ya baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere na kuambiwa hawajawahi kuwasiliana na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA.

Kwanza vijana wenzangu wa CHADEMA nawaomba mlipuuze andiko hilo kwa kuwa halina mashiko kabisa hata kiuandishi na huyo bwana John Ole Kapara hafahamiki anaishi sehemu gani hapa mkoani Arusha.

Hii ni mbinu na mikakati ya CCM pamoja na vyombo vya serikali vinavyokisaidia CCM kujaribu kupunguza nguvu za vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha ambao wameitingisha CCM na serikali yake kwa kipindi cha mwezi mmoja na tumeshuhudia vyombo hivi jinsi vilivyopaniki ikiwemo jeshi la Polisi, Mwanasheria mkuu wa serikali, msajili wa vyama vya siasa na hata mawaziri wenye dhamana ya vyombo vya habari na jeshi la polisi. Tunawahakikishia vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tuko imara na kwa hii awamu ya pili tutakuja na mikakati ya tofauti kabisa.

Baada ya kuyasema hayo kwa mara nyingine nichukue tena fursa hii kuwashukuru sana vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha kwa ushirikiano ambao wamekuwa wakiuonyesha na niwahakikishie kama kiongozi wao tuko pamoja katika kipindi hiki cha kutafuta demokrasia ya kweli katika Taifa letu.

Mungu wabariki na wazidishie HEKIMA na BUSARA viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh Lowassa, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania.

Wasalaam

Exad Mamuya
Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Arusha.
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema mpaka dakika ya sasa.

Pili nipende kuwapongeza sana vijana wote wa mkoa wa Arusha na nchi nzima kwa ujumla kwa jinsi walivyojitokeza kwa nguvu zao zote kufanya maandalizi ya umoja wa kupinga udikteta Tanzania yaani UKUTA ambayo yalikuwa yafanyike Sept 1. Hongereni sana.

Agizo la kuaandaa na kutekeleza UKUTA lilitoka ndani ya chombo cha juu sana cha chama chetu yaani kamati kuu. Na tokea limetolewa kwa ngazi za kitaifa, kikanda, kimkoa, kiwilaya, kimajimbo, kikata, na mpaka kwenye misingi hakuna kijana yoyote wa CHADEMA mkoa wa Arusha aliyepinga kwa namna yoyote ile. Maandalizi yalifanyika kwa kiwango cha juu sana mpaka hapo busara za viongozi wetu wa juu zilipotumika kusitisha kwa muda wa mwezi mmoja.

Sisi vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tumepokea kwa mikono miwili agizo la kusitisha kufanyika kwa UKUTA tarehe 1 Sept kwa lengo la kuwapa muda wa mwezi mmoja viongozi wetu wa kidini kukutana na mtukufu Rais Mh John Magufuli.

Tunazipongeza sana busara hizi walizozionyesha viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh. Freeman Mbowe na mzalendo wa kweli mzee wetu Mh Edward Lowassa.

Sisi vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tutaendelea kufanya maandalizi ya UKUTA mpaka tarehe 1 Oct kwa ngazi zote za chini kama viongozi wetu walivyotuagiza huku tukisubiri majibu ya viongozi wetu wa dini baada ya kukutana na Mh mtukufu Rais. Niwahakikishie tumejipanga vizuri na tunaendelea kujipanga zaidi.

Tumeona kiandiko kinachosambazwa na bwana mmoja anayejiita John Ole Kapara wanaojiita CHADEMA-Asili. Kinachozungumzia kutoridhishwa na hekima na busara za Mh. Mbowe na Mh. Lowassa kwa kupokea ombi la viongozi wetu wa kiimani na kuendelea kusema amewasiliana na viongozi hao wa kidini na familia ya baba wa Taifa mwalimu Julius Nyerere na kuambiwa hawajawahi kuwasiliana na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA.

Kwanza vijana wenzangu wa CHADEMA nawaomba mlipuuze andiko hilo kwa kuwa halina mashiko kabisa hata kiuandishi na huyo bwana John Ole Kapara hafahamiki anaishi sehemu gani hapa mkoani Arusha.

Hii ni mbinu na mikakati ya CCM pamoja na vyombo vya serikali vinavyokisaidia CCM kujaribu kupunguza nguvu za vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha ambao wameitingisha CCM na serikali yake kwa kipindi cha mwezi mmoja na tumeshuhudia vyombo hivi jinsi vilivyopaniki ikiwemo jeshi la Polisi, Mwanasheria mkuu wa serikali, msajili wa vyama vya siasa na hata mawaziri wenye dhamana ya vyombo vya habari na jeshi la polisi. Tunawahakikishia vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha tuko imara na kwa hii awamu ya pili tutakuja na mikakati ya tofauti kabisa.

Baada ya kuyasema hayo kwa mara nyingine nichukue tena fursa hii kuwashukuru sana vijana wa CHADEMA mkoa wa Arusha kwa ushirikiano ambao wamekuwa wakiuonyesha na niwahakikishie kama kiongozi wao tuko pamoja katika kipindi hiki cha kutafuta demokrasia ya kweli katika Taifa letu.

Mungu wabariki na wazidishie HEKIMA na BUSARA viongozi wetu wa kitaifa akiwemo Mh Lowassa, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu ibariki Tanzania.

Wasalaam

Exad Mamuya
Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Arusha.
UONGO ULIOPITILIZA
Agizo la kuaandaa na kutekeleza UKUTA lilitoka ndani ya chombo cha juu sana cha chama chetu yaani kamati kuu.HII NI HATARI ni lini KAMATI KUU NI CHOMBO CHA JUU?Kweli BAVICHA TUMEPINDA NDIYO MAANA TUNAITWA VILAZA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom