Tamko la Foreign Affairs kuhusu kesi ya Radar

Tamko la Foreign Affairs kuhusu kesi ya Radar

Kweli nchi ya majuha!

Kulaumu tuu bila ya kuchukua hatua (japo ndogo tuu) haisaidii, ni kweli kabisa sisi wananchi hatuna vifaruu, AK-47, Katyusha, Apaches n.k ili kuwashikisha adabu awa mafisadi lakini bado tunaweza kuandama ( tena ata tukiwa 20 tuu) ili kushinikiza waliohusika wapelekwe lupango la sivyo hiyi chenji isirudi, niliona kwenye TV akina mama wa uingereza ( Tena hawazidi 10) wakiandamana kuipinga BAE System kwa kukubali kuibia nchi masikini kama Tanzania, lakini sisi wa TZ bado tumelala usingizi tukisubili 'miujiza' ili watuhumiwa wajipeleke mahakani wakati uwezo wa kuwakamata tunao, wee unategemea Mkwere anaweza kumfikisha mahakamani Ben mahakani kwelii?
 
Mi nadhani kila kitu kina wakati wake, pamoja na mahela hayo kutoka uingereza ambao wanatuonea huruma sisi tusiojionea huruma kuyarudisha, waleeeeee jamaa ambao kazi yao kula wanasubili wale, lakini wakati unakuja ambapo mkombozi akifika watu watakataa majina ya koo zao, maana wanashindwa hata kusoma alama za nyakati:yuck::yuck::yuck:
 
hii siyo nchi ya majuha, majuha ni nyie mnaojumuisha watu wote, achen kuilaani hii nchi na watu wake, 2kiinenea mema hata Mungu ataibariki na kugeuza mambo yakae vema.
kila mtu na ahusike kuhoji hizo pound zirudishwe home ziwe shiling na matumiz yake kuwe na uwaz, naamin ipo siku mambo yatakuwa poa. nimemaliza kuchangia hoja
 
hivi jamani kuna mtu anajua makadirio ya ujenzi wa daraja la kigamboni? Badala ya serikali kupitisha bakuli kwanini isipeleke pesa hiyo yote either kwenye ujenzi wa daraja la kigamboni au hata kutatua tatizo la umeme Kigoma au pengine pesa hiyo ikatumika kuweka mtandao wa maji toka kimbiji kuja temeke,kitunda,pugu na maeneo mengine ambayo yana uhaba mkubwa wa maji safi na salama?

hapana kaka, daraja la mto maragarasi na barabara ya rami kuunganisha tabora ikitokea kigoma, wale wa kigamboni si wana ferri la kuwasafilisha?

wakazi wa kigoma maisha yako juu kwa sababu ya usafiri na kipindi hiki cha masika wanaipata habari yake. Usafiri wa tren ndo kama hivo, magari nauli inapanda balaa na wakati mwingine hayaendi kabisa.

Tumuombe magufuli afike huko, akajionee, hivi KIGAMBONI kuna wakazi wengi kushinda mkoa wa kigoma na tabora? kwa kweli ujenzi wa hili daraja la kigamboni sioni umuhimu wake. kila siuku usafili wanao si kama KIGOMA jaribuni kufikilia wakazi wa Kule.

Unajua bei ya maji ya kilimanjaro lita moja kule KIGOMA? au ya uhai lita 1? sababu yote ni kwa kwa kuwa usafiri ni shida.

Hapo tu nimetoa, mfano wa baadhi ya bidhaa.
 
Back
Top Bottom