Tamko la Chama cha ACT Wazalendo kuhusu vita dhidi ya dawa za kulevya

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
.
"Msimamo wetu kama chama uko wazi, tunaunga mkono vita dhidi ya dawa za kulevya lakini ni muhimu katiba na sheria zizingatiwe" ACT .

My take =Ushauri wa bure Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda ufanyie kazi acha kukurupuka.Nape Nnauye amekushauri mapema ACT nao wamekushauri
 
Hao wanaoshauri watoe ushirikiano mana hapo ni kama wanasubiri,ashindwr waseme tulijua tyu
Exactly!! Thanks for a good observation. Kusema tu tunaunga mkono mapambano dhidi ya madawa ya kulevya bila vitendo ni siasa Na unafiki!! Mtu kathubutu wanamdiscourage kila kona, Tanzania ni nchi ya hovyo sana!!!
 
Dawa za kulevya kama cocaine, meth au heroin hazitengenezwi Tanzania. Hizi illicit drugs inapita kwenye viwanja vya ndege na bandarini. Huko waweke mkazo. Kukiwa na supply wafanyabiashara wakubwa wala hawataweza kukamatwa. Wataficha wala hakuna kitu polisi watang'amua. Vijana tutaendelea kuwaona mtaani wanageuka mazombies. Kata mzizi matawi hayata shamiri yatakufa.

Hao ATC wazalendo wapo sawa tu kusema katiba ifuatwe. Jeshi na polisi ndilo linamamlaka kushughulikia wahalifu. Kazi ya siasa ni kusema. Kusema mawazo vile manafikiri. Yani wawazo tu basi. Watu inatakiwa waelewe hivyo.

Ndugu Makondo kama alifanya hili bila kuweka mikakati imara atakwama. Kumbuka hata kama wazo lako ni jema kiasi gani bila mipango litashindwa tu.
 
Back
Top Bottom