Tamko la chadema juu ya mauaji ya arusha


Acheni upupu we Mbowe na wenzako. Kama Police walikataza maandamano na nyie milipata taarifa na kama nyie ni watu wenye upeo wa kuelewa maana ya katazo la ki-police kwanini msingesitisha maandamano kuokoa roho za wahanga wasio na hatia?. Kitendo cha kushawishi watu wenye uewelewa mdogo na kuishia kuuwawa kitaiandama CHADEMA miaka yote. Chadema kwa hatua ya uchochezi na kusababisha vifo vya watu tayari iko na doa kubwa kuliko Ufisadi wa miaka yote wa CCM. Hakuna sehemu yoyote Duniani watu wasio organised wakaribie kuvamia armory ati muwaachie! Hizo Silaha zingewageukia Chadema wenyewe.
Mtu yoyote mwenye busara na uwelewa na aliyeshudua maandamo ya kuhuni ya Chadema pale Arusha siku ya tukio hana budi kusifia police kwa ku-minimise casualties.
 

Mbwa
 

You are a P.I.G!
 

son of a b.i.t.c.h
 
crapping
 
Ndugu Kanyafu Nkanwa ukitaka kujua watu wasiyo na nidhamu kama Freeman Mbowe, Slaa, Wenje na Lema uwape kidokezo kidogo chenye uhalisia ndani yake. Umeona utoa mtazamo wako badala ya kukinzana kwa hoja watu wanakutukana wengine wamekita mbwa. Usijali hakuana uhusiano kati ya matamshi na wewe binafsi as language is arbitrary. Hawataki kusikia kuwa mauwaji hayakutokea wakati wa maandamano bali wakati wa uvamizi wa kituo cha polisi kuaokoa watu wao bila kufuata utaratibu kama slaa alivyowaagiza kwa kuhesabu muda mpaka sifuri. Wanawadanganya watu kuwa waliuwawa walikuwa kwenye maandamano. Mtaendelea kujadili hayo lakini waliofiwa wanataabika na cdm itaweka unafiki tu maana damu ile iko juu yao hata wakitetewa na nani.
 
I tend to think that since both CCM and police still believe it was within their rights to KILL TANZANIA CITIZENS, for what ever reason in a STATE PRE-MEDITATED human butchering courtesy of the now recklessly non-stop smoking guns in every corner, ICC ca better help in offering permanent solutions to this quagmire.

Action on please! Tanzania is a signatory of the Rome Statute and is therefore bound to give difficult answers to very tough questions that they are otherwise more willingly playing around with under the placades of religious divisions.

Guys action on to ICC for unpoliticised answers!!!
 

enzi za ujinga nilidhani dereva akikupigia honi barabarani na wewe usisikie au ukachelewa kumpisha anaruhusiwa kukugonga na gari lake....
nilipokuwa napata uelewa na baadaye kwenda shule ya udereva nikajua kuwa kumbe ni jukumu la dereva kuhahakisha hamgongi mtu hata kama amekataa kutoka barabarani....!!

Mwaka 2001 wakati wa mauaji ya Pemba tuliambiwa na wauaji wa pemba kuwa CUF waliagiza contena la visu kwa ajili ya upambana na polisi na hawakuishia hapo ila walienda mbali na kusema waandamanaji wa CUF walitaka kuteka ghala la silaha ndo wakawaua, nilikuwa mmoja wa wajinga waliowaamini polisi(Ngunguri) hao. Namshukuru Mungu aliyenipa upeo baadaye nikajua kuwa ni rahisi sana kudanganywa na polisi + serikali kuliko mtu mwingine yeyote kwa sababu wajinga wengi wanawaamini sana kuliko mama na baba zao.
Kule Arusha interest ya Waandamanaji ilikuwa kushinikiza kuachiwa kwa Mbunge wao na Mwenyekiti wa Chadema taifa ila polisi wanasema walitaka kuchoma moto kituo, mwenye akili hata kidogo tu kiasi cha mboga anajiuliza hivi wangechoma moto kituo si hata mpendwa wao mbunge angeungua na mwenyekiti wao pia!!??? unaona kabisa ni uongo uliokubuhu. Shame on them.

Kuna kijana alipigwa risasi akiwa amelala chali anaomba wamsamehe mbele ya masista kanisani ila alilambwa risasi ya mguu na kuachwa hapo mpaka Padre alipotoka na kumpigia askari anayemjua ili waje kumchukua ndipo wakaja baada ya dk zaidi ya 30. Mpumbavu bado anaona walistahili watu hawa kupigwa risasi eti polisi wanalinda ghala la silaha lisivamiwe....Siwalaumu sana labda muda wenu wa kuyajua haya bado haujafika ila kama mnatumikia mafisadi ili mpate makombo wanayosaza hakika mnachuma dhambi mbaya sana.

serikali ina vyombo vya habari radio,tv,magazeti,mazungumzo baada ya habari na hata vyombo vya vibaraka wao vinawatukana wananchi baada ya kuwaua! eti wapumbavu wanashangilia na kucheka !!?? Tunisia ilikuwa na utulivu wa kulazimisha huku wakiminya demokrasia na kudhani watu hawatakuja kubadilika ila ilifikia mwisho. Tanzania iko very close to that TAKE CARE YOU I.D.I.O.T.S!!!
 

Damu iko juu ya watu wanaojiita jeshi, na kuua watu wasiokuwa hata mapanga zaidi ya mawe waliyoyaokota baada ya kuona polisi wanawa-atack! Duniani kote hasa nchi zilizoendelea kama marekani, watu hufanya maandamano ya amani na hata yasipokuwa ya amani kuua ni nadra sana. Maandamano yale hayakuwa hata na chembe za dalili ya uvunjifu wa amani. Propaganda za "....." na jeshi la polisi zikasababisha vifo kwa raia wa Tz na Kenya. Shame on you! Mtu yoyote anayetetea mauaji yale ni mtu katili na tujiulize mara mbili kama hajatumwa na wale waliokataza maandamano kwa propaganda za kisiasa. Mdumu watetea haki
 

nachelea kusema wewe ni mbumbu wa matukio yaliyotokea arusha hivyo basi naamini taarifa yako na ya unayemtetea mmeijengea hoja kutokana na taarifa mlizopewa au kuzipata zikitokea habari maelezo who are those habari maelezo kwa fikra fupi waweza sema serikali na serikali ni ipi ? ya ccm hivyo basi kwa kuwa tanzania haina utamaduni wa kukiri udhaifu hata pale inapothibitika wazi kama tukio la arusha! hivyo muheshimiwa nakushauri uache kukurupuka fanya tafiti ya kina na usipende spoon feeding bali kuwa kama kuku wa kienyeji anayechakura huku na huko kakita kujitafutia na sii broiler ambaye wewe na nduguyo mwamfanania wanaosubiri spoon feeding!
 
Asante Vakavwe! Umenena, na nimependa uchambuzi wako wa kihistoria katika kuelewa mambo. Serikali inahaha kujisafisha kwa kutumia vyombo vyake vya habari na hao mashoga wake
 
Marehemu wetu mashujaa wa Arusha huenda wakakashirishwa sana na hizi chukizo za CCM kuchezea taarifa juu ya namna gani walivyokutana na vifo vyao.

Na endapo msononeko wao huo utawashika mori vijana kote nchini basi huenda rekodi zote zilizopindishwa kwa makusudi zikalazimika kunyooshwa kiaina.

Ni kwamba tunachezea taarifa juu ya raia wenzetu waliouaua kikatili na polisi kwa amri ya CCM.
 

Hiyo bold hapo inaonyesha jinsi gani shule uliyosoma imekumaliza zaidi ufahamu wako badala ya kukunyanyua. Ebu rudia tena kusoma bolded lines na itafsili mwenyewe (itafakari). Usingehitaji kuandika story hii yote potofu hapa.
 
Hiyo bold hapo inaonyesha jinsi gani shule uliyosoma imekumaliza zaidi ufahamu wako badala ya kukunyanyua. Ebu rudia tena kusoma bolded lines na itafsili mwenyewe (itafakari). Usingehitaji kuandika story hii yote potofu hapa.
I also repeat 'YOU IDIOT' ukome kabisa wewe house boy wa mafisadi. Huna hata aibu kulazimisha watu tuamini kuwa cdm ndo waliosababisha vifo vya wapendwa hawa? Huu ni ujinga mkubwa na laana ya damu ya ndugu hawa na iwe juu yako na mafisadi wenzako. You days are numbered uchungu wa shida tunaupata watanzania kwa sababu ya ufisadi lazima mtalipa. We can't take anymore! We are tired , we want our freedom! Next Tunisi is around the corner take it or leave it we are feedup and we have nothing to lose at this point kwa sababi hatuna chochote you are the loser kwa sababu mnaishi maisha ya peponi hapo duniani sasa mnaenda kuyakosa. Kama wewe ni msomi wa biblia unaijua habari ya Razaro na yule tajiri!
 
Kwa hali yoyote hata kama CDM walivunja amri halali (na haikuwepo katika hili), huwezi kuhalalisha uuaji wa raia namna hiyo.

Uhalifu wa polisi ulitokana na uchu, ubinfasi na ubabe wa watawala. Wote katika hili ni wahalifu na hakuna anayeweza kumchunguza ayu kumripoti mwingine.

Iundwe tume huru ya wataalam wa kada mbalimbali na ripoti yao iwe huru na ya wazi kwa umma. Ili yeyote mwenye kuhusika afikishwe mbele ya sheria na haki itendeke.

So ripoti ya CDM ni mwanzo tu. Ya Polisi ni upupu. Ipatikane ripoti huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…