msaada jamani jinsi ya kuandika barua ya uhamisho. Idara ya sec. Pia naomba na pobox la tamisemi dodoma
muandikie barua yote!Katibu mkuu ofisi ya ya waziri mkuu tawala za mikoa serikali za mitaa
s.l.p (nitakupa baadae niiangalie kwenye documents zangu)
dodoma
kk,
katibu tawala wa mkoa (jina la mkoa uliopo)
s.l.p
hapo ulipo
kk,
mkurugenzi mtendaji wilaya/manispaa uliopo
s.l.p
hapo ulipo
kk,
afisa elimu sekondari wilaya/manispaa uliopo
s.l.p
hapo ulipo
hiyo ndo format ya barua
Anipe hela, niipeleke kabisa Tamisemimuandikie barua yote!
Adress ikiishia kwa RAS huo ni uhamisho wa ndani ya mkoa, kama anahama mkoa lazma aandike kwa katibu mkuu tamisemiKATIBU MKUU,
OWM-TAMISEMI,
S.L.P 1923,
DODOMA
Lakini kwa sasa muombaji haiandikii TAMISEMI, unapeleka maombi ya nafasi kule unakotaka kuhamia, ukikubaliwa unaipeleka kwa RAS mkoani kwako, yeye ata-compile maombi yote ndani ya mkoa na kuyapeleka TAMISEMI,
Kazi ipo ndo madhara ya kufanya marekebisho yenye hurumaDuh, sasa watoto wetu unawafundisha nini? Au wewe ni mwalimu wa UPE?
Ulisoma chuo gani?