Watumishi wenye tabia korofi "miungu watu" ambao waliwahi kulalamikiwa na kukawa na ushahidi wa kimazingira kuwa utendaji wao una mushkeri....huyu mama utumishi hapa kwetu kahamishwa tunafanya booonge la party. Yaani mtu anafanya maisha yako yanakuwa magumu ukimuona roho inapiga paaaha....barua ya likizo mtu anakaa nayo mwezi ukienda kuuliza anakwambia imepotea andika nyingine ukiandika nyingine anaichukua halafu anasafiri wiki mbili anaifungua ofisini kwake, anakuwa busy na kazi ambazo zina "chajuu" fukuza wote #*?!,';:: zao