tamisemi

tamisemi

Wizara IPO ofisi ya raising kwahiyo hakuna kitu kitakachofanyika bila mkulu kuruhusu
 
duu noma sana yaani huyu jamaa mengine amezidisha aisee
 
KWA mujibu wa ofisi ya katibu Mkuu Tamisemi, taratibu za uhamisho tayari(vibali) wanasubiri tu ruhusa ya rais waweze kurelease.
Maswali mengi sitaki namba ya katibu Mkuu Tamisemi ipo, piga utapewa majibu kama hayo
 
ndugu yangu naomba unisaidie namba ya katibu mkuu nipige maana hakieleweki
 
KWA mujibu wa ofisi ya katibu Mkuu Tamisemi, taratibu za uhamisho tayari(vibali) wanasubiri tu ruhusa ya rais waweze kurelease.
Maswali mengi sitaki namba ya katibu Mkuu Tamisemi ipo, piga utapewa majibu kama hayo
lini ataruhusu?
 
Ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom