TAMISEMI tunaomba ufafanuzi.

TAMISEMI tunaomba ufafanuzi.

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,159
Reaction score
96,224
Mwaka huu form four walichaguliwa moja kwa moja kujiunga na vyuo bila kupitia NACTE (VYUO VILIVYO CHINI YA nacte).
CONCERN YANGU NI HII: almost vyuo vingi vimejaa AU VIMEBAKIWA NA CHINI YA 1/8 ya admission capacity kupitia selections za TAMISEMI. Kuna mifano hai. Kuna chuo cha Nursing kimoja, kimeletewa wanafunzi zaidi ya 100. Uwezo wake ni 80. Je hilo dirisha la NACTE la kuomba admission kwenye chuo kama hicho si mnawadanganya wanafunzi na "kuwaibia" pesa zao?
Pili walioomba kupitia NACTE, on line application wengine ni Div 1, 2 and 3. Kupitia TAMISEMI kuna watu wa div 4 wamekuwa selected kujiunga na vyuo hivyo hivyo ambavyo vina ushindani mkubwa kama vya Diploma in Clinical Medicine. Kuna vijana wamechaguliwa na Div 4 wakati huo kuna wale wa Div 1,2, wataomba kuja hapo na watakuta nafasi zimejaa, maana hata joining instructions wameshatumiwa hao wa div 4, 3. Hao wa Div 1, 2 hamuoni kuwa watakuwa wamenyimwa nafasi za kushindana na wa Div 4 waliotokea NACTE!
TUNAOMBA UFAFANUZI.

I stand to be corrected!
 
Mwaka huu form four walichaguliwa moja kwa moja kujiunga na vyuo bila kupitia NACTE (VYUO VILIVYO CHINI YA nacte).
CONCERN YANGU NI HII: almost vyuo vingi vimejaa AU VIMEBAKIWA NA CHINI YA 1/8 ya admission capacity kupitia selections za TAMISEMI. Kuna mifano hai. Kuna chuo cha Nursing kimoja, kimeletewa wanafunzi zaidi ya 100. Uwezo wake ni 80. Je hilo dirisha la NACTE la kuomba admission kwenye chuo kama hicho si mnawadanganya wanafunzi na "kuwaibia" pesa zao?
Pili walioomba kupitia NACTE, on line application wengine ni Div 1, 2 and 3. Kupitia TAMISEMI kuna watu wa div 4 wamekuwa selected kujiunga na vyuo hivyo hivyo ambavyo vina ushindani mkubwa kama vya Diploma in Clinical Medicine. Kuna vijana wamechaguliwa na Div 4 wakati huo kuna wale wa Div 1,2,na 3 wataomba kuja hapo na watakuta nafasi zimejaa, maana hata joining instructions wameshatumiwa. Hao wa Div 1, 2 and 3 hamuoni kuwa watakuwa wamenyimwa nafasi za kushindana na wa Div 4 waliotokea NACTE!
TUNAOMBA UFAFANUZI.

I stand to be corrected!
This is tz
 
Sasa nyie wenye 1&2 mngeenda kupambana kwanza advance ikishindikana mtakaribishwa huko......mkijaa nyie na wenzenu wataenda wapi?
 
Shida moja ya Tanzania mkuu population imeekua kubwa mno kuliko uwezo wa serikali....maajabu mtu anakosa chuo muhimbili anakubaliwa Cambridge university.........isssue is not marks,buy spaces
 
Back
Top Bottom