Nilimuonea huruma jamaa yangu flani mwaka juzi waliposema watu wa-apply yeye anaishi kilometa 210 kutoka kijijini hadi mtandao ulipo mjini nauli elfu12 siku ya kwanza mtandao ukagoma hana hela ya kula,sehemu ya kulala hana nikamkaribisha,home siku tatu nzima no mtandao akarudi kwao.Baada ya siku mbili kanipigia cm nimuazime nauli aje me sina akauza shamba ekari moja kwa sh elfu 80 kapoteza shamba la kulima,muda na ajira hakupata leo wamesema waanze upya namsikitikia sijui atakuja tena.