Tamisemi bado tu bila bila dah

Tamisemi bado tu bila bila dah

Mzee yani umeacha kufanya mambo yako kabisa unafuatilia hiyo pdf ambayo hata ikitoka uwezekano wa jina lako kuwepo ni asilimia 0.00000000001???
Acha utani aisee
 
Zina kuja vumilia ni jambo la muda tu. Ila jiandae kisaikolojia. Zikiwekwa hadharani ukiwepo furahia kwa kiasi ukikosa lia mwenyewe kidgo.
 
Back
Top Bottom