Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,928
- 2,319
mkuu unanipa kazi kufanya rejea ya izo namba juu, kwa uvivu wa kitanzania wacha niungane na wewe japo sijafanya kurejea nyuma.Kwa akina sisi kuongea ndo tiba.... Eti unikere nikae kimya mpaka hasira ziishe Hapana..... Nitaongea mpaka .
No 20 ,18 Sawa 15 nitapasuka.... 14 sijui 13 bora uvunjike kuliko kuletewa ujinga... 12 ndo -sawa napenda ili ajifunze siku nyingine ...11,10,9 Sawa..... 8 inategemea...
unazo za kutoshaShukran ngoja niikopi nikale likes vizuri
unazo za kutosha
duh kwa mara ya kwanza leo nimeona rundo la likes humuNaongeza ziwe nyingi zaidi
Kaa Kimya!Shukran ngoja niikopi nikale likes vizuri
duh kwa mara ya kwanza leo nimeona rundo la likes humu
Kaa Kimya!
likes 261108 dahUmezionea wapi?
kwako
likes 261108 dah
Kwa hiyo kukaa kimya kunamuweka mpumbav kund moja na mwerevuKukaa kimya napo ni kipaji, japo mara nyingi inasaidia sana hasa kama haitachanganywa na kisirani au dharau.
Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Mithali 17:28
Kwa hiyo kukaa kimya kunamuweka mpumbav kund moja na mwerevu
SawaHadi atakapofungua kinywa mkuu..