AMANI IWE JUU YENU wana-JF.
Kama una Girlfriend/Boyfriend, Mke ama Mme, ila unamchit usihangaike kujua mko wangapi kwenye Chain, fanya hivi:-
Tunga sms kwa kichwa chako(usicopy na kupest) nzuri ya "malavidavi" weka vionjo kadri akili yako itakavokutuma, MTUMIE MWENZI WAKO (A).
Kisha anza kuhesabu siku, siku Mpenzi wako(B) akikutumia sms "the same", chukua idadi ya siku gawa kwa 2. HIYO NDIO IDADI YA MLIOKO KWENYE CHAIN!!
UKIMWI UPO UNAUA CHUKUA HATUA!!!
STIDE.