ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,462
Sio wote bana,
Mbona mie siko hivyo............
Hujaeleza hasa unataka ushauri gani? Yashamkuta sasa anataka kujipanga au anataka kuacha ili asiachwe?Hay wanaMMU
Usiombe yakutokee akama yalivyonitokea rafiki yangu imefikia kuandika hapa ili wanaMMU wamsaidie huyu mtu, ni afadhali ujiaachishe kuliko kuachwa katika mataa, wala usiweze kujua namna gani ya kuvuka ng'ambo ingine,
Hawa ndugu zetu wanaume wana tabia za ajabu sana hawa utu hata kidogo, imenibidi au nimethubutu kusema hivi kutokanana tabia yao, wamezoea KUACHA sana akikuona leo unalipa na uko fit yeye atakuwa nawe daima na kukuimbia nyimbo nyingi za maneno ya ulaghai, kisha kesho akikuona umekondeana basi atakuacha solemba huku hujitambui akinadada wa jf kaeni chonjo na jamaa hawa hawana huruma na wema hata kidogo ni watu wepesi wa kuona sasa na sio wa kuona mbali. Isitoshe akikuzalisha ndo balaa tupu atasema ushapitwa na wakati wewe, niondokee hapa yaani wako against kwako. Wengine eti kisingizio umri jamani acha tu, rafiki yangu yamefika anaitaji msaada wenu kwani aelewi afanye nini kwa hawa watu. ila Mungu atamlipia nimemshauri sana imenibidi niwaombe ninyi wanaMMU mnisaidie nimwambie nini hivi KUACHA NA KUJIACHISHA kipi bora jamani?
hujaeleza hasa kisa cha rafiki yako kufikia hatua hiyo.
Mtu keshalizwa tayari. Mwaka huu tutatibu majeruhi kwelikweli
]Asilimia 99.9% [/B]mko hivyo mtambuzi nyie watu hamna hata robo ya huruma mmejaa matatizo tu mwenzio amebandika na kubandua hapohapo home yaani kamchukua hausegirl inauma sana jamani? We acha tu mtambuzi
Sasa dada kama wewe mtoa ushauri umepanick kiasi hicho utaweza kumshauri mwenzio afanye nn? Come Down kwanza halafu mwambie huyo rafiki yako aende kwao kama anako, au kama wee unaweza kumhifadhi kwa muda mchukue ukaenaye, Then kama anafanya kazi au biashara mwambie ajipange atafute kwake na maisha yatamwendea vizuri asiwe na shaka.Ni hivi ndugu yangu kisa mumeewe kamchukua housegirl hapohapo na kisha yeye kuambia aondoke maana ameshazeeka hamfai kabisa kwani amemumzalisha mtoto mmoja tu von inumiza sana
Ni hivi ndugu yangu kisa mumeewe kamchukua housegirl hapohapo na kisha yeye kuambia aondoke maana ameshazeeka hamfai kabisa kwani amemumzalisha mtoto mmoja tu von inumiza sana