ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,460
Hay wanaMMU
Usiombe yakutokee akama yalivyonitokea rafiki yangu imefikia kuandika hapa ili wanaMMU wamsaidie huyu mtu, ni afadhali ujiaachishe kuliko kuachwa katika mataa, wala usiweze kujua namna gani ya kuvuka ng'ambo ingine,
Hawa ndugu zetu wanaume wana tabia za ajabu sana hawa utu hata kidogo, imenibidi au nimethubutu kusema hivi kutokanana tabia yao, wamezoea KUACHA sana akikuona leo unalipa na uko fit yeye atakuwa nawe daima na kukuimbia nyimbo nyingi za maneno ya ulaghai, kisha kesho akikuona umekondeana basi atakuacha solemba huku hujitambui akinadada wa jf kaeni chonjo na jamaa hawa hawana huruma na wema hata kidogo ni watu wepesi wa kuona sasa na sio wa kuona mbali. Isitoshe akikuzalisha ndo balaa tupu atasema ushapitwa na wakati wewe, niondokee hapa yaani wako against kwako. Wengine eti kisingizio umri jamani acha tu, rafiki yangu yamefika anaitaji msaada wenu kwani aelewi afanye nini kwa hawa watu. ila Mungu atamlipia nimemshauri sana imenibidi niwaombe ninyi wanaMMU mnisaidie nimwambie nini hivi KUACHA NA KUJIACHISHA kipi bora jamani?