Naam baada ya kupita Utwango kwa mbelembele ila maeneo ya litola staili hiyo wanaijua mpaka mtwara pachani on the way to Chengena kote wajanja au likuyu mjomba?
kweli tupu siku zote wapenda hela za bure haya yatawakuta tu.....iweje akuulize ku-change hela na wakati yupo ndani ya benki na wewe ukubali.....hapa wacha niwatupie ujumbe wa pinda "Na wapigwe tu....tumechoka"!
Hii mada yako inatufundisha tuache TAMAA tu basi. Maana wizi wenyewe ni wa kizamani na kitoto pia. Na una mambo mengi ya kutegemea tegemea ili huo wizi ukamilike
jamani chukueni elimu hiyo, kuna watu wangetapeliwa kwa njia hiyo lakini wameamka, mimi tangu nitapeliwe na mtu tuliesoma nae darasa moja yaani sina hamu kumbe darasani mnaweza mkatoa majambazi, matapeli, nk kikumbwa ni kuwa makini.