Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,937
- 2,837
Una smartphone?Sci-fi ndio nini, mm sielewi maana ake wala sijui ndo nn msaada.
Nchi ngumu sana hii
Una smartphone?Sci-fi ndio nini, mm sielewi maana ake wala sijui ndo nn msaada.
Science-fiction.Sci-fi ndio nini, mm sielewi maana ake wala sijui ndo nn msaada.
Ngumu kwa vilaza kama nyieUna smartphone?
Nchi ngumu sana hii
Got yaScience-fiction.
Ni muvi zinazoelezea au kuonesha mambo ya sayansi ya kubuni kama vile maroboti, safari za anga, au nadharia za kisayansi zinazoweza kuwa za ukweli au za kubuni. Muvi kama vile Spider Man, The Matrix, Avatar, Terminator, Jurrasic Park etc.
The Gorge ni Sci-fi kwa sababu ina baadhi ya vipengele ambavyo havipo kwenye maisha ya kawaida. Wale viumbe waliopo kwenye lile shimo kubwa (gorge lenyewe sasa) sio viumbe halisi na hawapo kwenye maisha ya kawaida, bali ni matokeo ya mawazo ya sayansi ya teknolojia ambayo haipo/haijafikiwa.
Ka BetSina mchongo rasmi mkuu.
Yaani mtu anatumia smartphone halafu anauliza swali la kindezi...Ngumu kwa vilaza kama nyie