Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,472 Reaction score 7,275 Apr 8, 2012 #1 Watu wanazidi kumiminika, japo mambo bado hayajaanza rasmi. Kwa mlioko jirani karibuni leo wakali wa muziki wa injili wanauwa moto uwanja mpya... Kwa mlio mbali tutawajuvya pamoja na picha.
Watu wanazidi kumiminika, japo mambo bado hayajaanza rasmi. Kwa mlioko jirani karibuni leo wakali wa muziki wa injili wanauwa moto uwanja mpya... Kwa mlio mbali tutawajuvya pamoja na picha.