General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,058
Inasikitisha sana clouds tv kuonekana kuwa ndio wadhamini wa tamasha hili la injili ambalo litafanyika siku ya X-mas kwa kiingilio cha Tsh. 50,000/=
Inasikitisha sanaa clouds tv kufanya injili kama sehemu ya kufanyia biasharaa.
Inasikitisha sana sehemu ambayo watu wanataka kuitazama imani yao na kutubu mnafanya ni biashara na kiingilio juu.
Mbaya zaidi Makamu wa rais ndiye atakuwa mgeni rasmi wa tamasha hilo.
Baada ya magufuli kubana ufisadi wenu wa kutolipa kodi, sasa mnatafuta mirija ya kuwatafuna watanzania kupitia mungu.
Tunapoelekeaa itafikia hatua kuingia kanisani ulipie kiingilioo!!
Clouds tv na Fm mnaofanya hiyo media kwa kupiga madili, mnakwenda tofauti na maadili ya vyombo vya habari...
Shame on you!!