Tamaduni zetu tunazizingatia.

Wohhooo! Nilishawahi kushiriki hili. Kuna caribbean festival toronto kila mwaka inaitwa caribanna. Si kubwa kama ya Brazil. Hata wanaume wanashiriki. Unachagua style ya costume. Bonge la sherehe.
 
bongo si tunazo, mdundiko au zile za kule tanga za kukaata mauno na zingine kibaaooo
 
Hizo ni tamaduni zao,kila jamii in tamaduni zao.
 
Tofauti ya tamaduni zao na za kwetu ni kwamba zetu tunaonyesha usiku....for more information visit Kona bar, Meeda, Buguruni, Maisha Club na mengine mnayajua msibishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…