Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 755
mimi sihukumu kama nimehukumu nisamehe ndugu yangu au siyo
Umesamehewa.
mimi sihukumu kama nimehukumu nisamehe ndugu yangu au siyo
Mkuu niko bize wewe....hata huo muda wa mazoezi ni weekend tu...lakini huko huko nilipo kwenye mishemishe zangu ni balaa tu....yaani isipite sketi.......duh
Dawa ni kuwatafuna tu. Baada ya muda hiyo hamu itaisha kabisa. Halafu hata sketi ikipita mbele yako unaichukulia poa tu. Kuna mtu aliwahi kulifuata daladala kwa nyuma toka Posta mpaka Mbagala, kisa kuna sketi kaiona imepanda kwenye hilo daladala. Na aliipata.
Sasa hivi kastaafu mambo hayo!
u-bize wako haushirikishi akili nini?
mfano, niwe busy na shughuli zinazonifanya kufikiri sana, hata kula huwa nasaau, nikikurupuka naelekea nyumbani, nikifikaa home niko hoi wala siwazii kitu kingine zaidi ya kuoga, kula nakupumzika, nikizinduka usingizini nawaza wapi pa kuanzia kesho yake - mwendo wa hivyo naweza shtukkia wiki inakatika pasipo kuwazia papuchi.
Mkuu mpaka hapa nimeshatafuna saaaana...but i hate this situation...nashindwa kuizuia...sidhani kama itaisha kwa kuendelea kuwatafuna...afteral nimevuka risks za magonjwa sana
Wana MMU,
Mwenzenu tamaa zimenizidia siku hizi.pamoja na kwamba nina girlfriend wangu,lakini kwa muda kama wa miezi miwili sasa tamaa zimeongezeka mno.Asipite mdada tamaa zinawaka hadi abdala kichwa wazi anasumbua sana.Na hata nikikutana na gf wangu nikamaliza mambo lakini bado vilevile tu.....Yaani hadi mimi najiogopa.Wadau hili ni tatizo au? Je mkiwa na tamaa kiasi hicho(Kama mnakuwa nazo) what is the easiest solution...manake naaibika mwenzenu

Kaunga, Sijaelewa unaposema kama nina nguvu nitafutea liye na nguvu zaidi yangu,Unamaanisha nini? Nimekuelewa kuhusu Kufunga
Freeland likes this.........Nafikiri ni typo error; nilimaanisha kama kitu kinakushinda (will power inapokuwa ndogo) then tafuta nguvu iliyojuu zaidi yako, and in this case Roho Mtakatifu na mkaribishe kwa kuomba na kufunga utapata nguvu ya kushinda hiyo tamaa ambayo for the moment is bigger than you.
All that you need is money and time. Kama pesa na muda unao, tongoza tu hao unaowatamani. Utashangaa katika wanawake 10 utaotongoza, 6 kati yao utawafuna. Na kati ya hao 6, mmoja utamtafuna siku ya kwanza ya kumtongoza.
Jiachie tu! Kwanini unaidhulumu nafsi yako?
Wana MMU,
Mwenzenu tamaa zimenizidia siku hizi.pamoja na kwamba nina girlfriend wangu,lakini kwa muda kama wa miezi miwili sasa tamaa zimeongezeka mno.Asipite mdada tamaa zinawaka hadi abdala kichwa wazi anasumbua sana.Na hata nikikutana na gf wangu nikamaliza mambo lakini bado vilevile tu.....Yaani hadi mimi najiogopa.Wadau hili ni tatizo au? Je mkiwa na tamaa kiasi hicho(Kama mnakuwa nazo) what is the easiest solution...manake naaibika mwenzenu
duu! Kwel Tanzania bila ukimwi haiwezekani!