Tamaa yamponza mke mgumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamaa yamponza mke mgumba

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KIGENE, Feb 27, 2011.

 1. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,068
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Babu mmoja alikuwa na wake wawili wa kwanza alikuwa azai wa pili alikuwa na watoto. Huyo mke wa pili na watoto wake kila kukicha walikuwa hawaishi kumnyanyasa mke mgumba kwa vijembe vya hapa na pale Pamoja na kutokuwa na mtoto lakini babu alitokea kumpenda sana. Siku moja akamwambia kwamba kwa vile mke mwenza na wanae wanamwandama sana na akifa lazima watamtolea nje akamwambia ikitokea nikatangulia mbele ya haki urithi wako nimeuficha juu darini kwa hiyo nikifa nikunje vizuri halafu panda darini uchukue urithi wako halafu piga mayowe kuwataarifu majira. Siku ya siku babu akaanguka chini nakujigaragaza akaonekana anakata roho yule mgumba hakujali kumweka sawa babu wakati anaaga dunia akawa kwenye harakati za kupanda darini kuchukua uridhi aliohaidiwa na babu kila anachojaribu kutumia kufika darini kinakuwa kifupi akaamua kusogeza maiti ya babu nakuweka kinu juu yake hili aweze kupanda darini. Babu akazinduka na kumuliza hivi mke wangu hivyo ndivyo tulivyohaidiana nimejifanya nimekufa nione akili zako zikoje uenda hata mwenyezi Mungu aliona una huruma ndio maana akakufanya hivyo mke hapohapo akazimiaaj
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,476
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tamaa mbaya!
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ndio walivyo hawa madem wa cku hz.
   
 4. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  hadisi hii alikufundisha nani?
  Inatufundisha nini?
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  dah kweli noma
   
Loading...