Fred-el Suárez
Member
- Mar 21, 2012
- 20
- 14
Mshenzy huyu,anamaanisha anawataka wote,muislam,mkristo na banyan!
My worry anaweza kuwakosa wote!
Fred-el Suárez;3728384 said:Dogo wa A-level alikuwa
anapenda mademu kinyamaa lakini
gundu. Ikawa tabu kwake. Juzi usiku
kamatokea Malaika akamwambia
amuombe anachotaka ataampa. Dogo
akamwambia anataka demu. Malaika akamwambia "Kama ni muislamu
nitakupa Latifa wa form 2B, kama
mkiristo nitakupa Suzy wa Form 3A na
kama baniani nitakupa Sanjeeta wa
Form 4D." Halafu akamuuliza " KWani
Kijana unaitwa nani?". Dogo akamjibu, "ALI MICHAEL PATEL" --booom!
Safi dogo yuko poa