Tamaa ni mbaya sana, sirudii

Tamaa ni mbaya sana, sirudii

Pedra buyer

Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
97
Reaction score
32
Wakati mwingine wanaume hatujui tunataka nini. Mwanamke anaweza kuwa mwema kupita kiasi, lakini bado ukatamani kituko/mwanamke wa nje. Hakika niliushangaza mtaa, nilitamani siku zirudi nyuma.
 
Sasa tunajifunza nini bila kujua kilichokukuta?
 
Sasa kama unatuogopa usiotuona na kutujua, ukiwekwa mtu kati si utaishia vilio.... Story haieleweki
 
Pedra buyer

Yah!! Nimejitahidi kukuelewa but ungefanya jambo jema sana kuweka kisa halisi ili tupate funzo kwa uzuri!!
 
Last edited by a moderator:
Pedra buyer

Basi basi kaka inatosha usinikumbushe maumivu.......yaani kama tumelogwa vile bt sitak tena na situmii kituko/mchepuko..kwanza binafsi naona ni utumwa wa mapenzi kuwa na mchepuko kwani huna amani hata kidogo.........(TUSI KUBWA)kwa Michepuko wote ..........zao
 
Naona hoja yako inatakiwa kujibiwa, ingawa mimi sio mchepuko wa mtu yeyote.
Wanakuaje michepuko bila wewe kuwafuata fuata, unadanganya na kutoroka familia. Wewe utakuwa ni TUSI KUBWA ZAIDI, kimbilimbi chako. Mxiuuuu.
 
mwaa........
 
Pedra buyer

Yah!! Nimejitahidi kukuelewa but ungefanya jambo jema sana kuweka kisa halisi ili tupate funzo kwa uzuri!!

Fikirisha kidogo akili mkuu
Kama ungekuwa chumba cha mtihani umeambiwa utunge insha kutokana na kichwa cha habari kilivyo,ungetaka mtunga swali akutungie insha yote?
 
Last edited by a moderator:
Hahaahahaaa pole Mpwa maaana kuna wakati mchepuko unazingua hadi unatamani umwambie Mkeo!!!
 
Back
Top Bottom