MUME MASKINI
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 234
- 323
Nikweli mtoa mada hii hali ipo kila godown hapa dar nishida na inaumiza sanaNatumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina
Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
Umeongea point ww kweli unajua wanachopitia jamaa hawa makuli inaumiza sanaNikweli mtoa mada hii hali ipo kila godown hapa dar nishida na inaumiza sana
Ila haina pakusemea naweza sema hivyo,sijui ni wizara gani jamani
Kiufupi hii kazi inamikono mingi
Kuna anaechukua kazi huyu anaitwa mkubwa kazi
Kuna salange huyu anakundi lake la wabebaji,huyu anawaambia makuli kua hapa gar kushusha ni kiasa kadhaa
Kwaiyo mkimaliza kazi kule kwa tajiri anaenda yule mkubwa kazi
Akishapewa pesa anatoa chake anampa huyo sarange
Nae sarange anafanya yake anampigieni hesabu zake
Ipo hivi, bosi lamda analipa laki na nusu.
Mkubwa kazi atamwambia sarange hapa gari ni laki
Sarange yey anafanya hivi anawaambia makuli hapa tajiri analipa kiroba kimoja 80 chakilo 100 na chakilo 50 analipa 25 sh
Ipo hivyo kuanzia bandarini,DCG ,mbagala biasi nenda mchicha kule karibu sehem zote YARA
dah 😭😭😭 nimepita moote humo kupiga kazi sasa nimetulia
Utamu wa hii kazi ya ukuli wanao lipwa kihalali ni masokoni pekeake,sehem kama manzese,mbagala,karume,temeke
Humu masokoni gunia buku la kilo mia likizid bei inaongezeka mpaka 1500,2000,5000 mfano rumbesa la viazi
Sehem wanalipa kwa tani tani 1 elfi 10 ujazo ukiwa mkubwa tani moja mpaka 11000 watu wanalipwa
Niongezee kitu katk magodown meng hasa dar es salama,kuna aina mbili za magengeUmeongea point ww kweli unajua wanachopitia jamaa hawa makuli inaumiza sana
Mwaga mboga! mchane kwa mchina, kama mbwai na iwe.Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina
Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
Usijidanganye ktk watu wanaolinda milango yao isiguswe na mtu ni. Wakubwa kaziMwaga mboga! mchane kwa mchina, kama mbwai na iwe.
Wananyonywa sana makuliNiongezee kitu katk magodown meng hasa dar es salama,kuna aina mbili za magenge
Aina ya kwanza kuna genge za mwezi hawa wanakua na umoja wao lakin ni wa mchongo.
Hii genge ya mwezi maana yake nikwamba kila mgao ukitoka wa pesa kuna pesa inakatwa kulinda genge endapo kuna yeyote atapatwa na tatizo au ikifika mwisho wa mwezi mnagawa kilicho patikana
Hii nimoja kati ya mbinu wanibiwa weng nguv zao.kwani hili genge la mwezi yawezekana wanao jua kua kuna pesa inakatwa ni wachache sana ukitia mdomo kesho kazi hupati
Genge la pili hawa wanajiita waluwalu hawa wanafanya kazi kwa mauzo yani wanapoanza kazi lazima mkubaliane kazi hii inalipwa je kwa tani kwa kiroba !?
Mara nying hawa wanakua niwale wabebaji wazoefu wamuda mrefu wanajua A t Z
Wanamsemo wao wanasema “sifany kazi ambayo haina akili “
Wengi wao wapo ktk magari ya viazi,manzese ktk magar ya mchele
Na ikiwa wapo ktk godawn hata malipo yao nitofauti na magenge ya mwezi
Magenge ya mwezi pesa wanakadiriwa
Imefika jion wanaambiwa wekeni tando mnaesabiwa pale,inasomwa pesa mloingiza inagawaiwa mara watu
Unaweza kusikia elf 7 ooh !!! Nying sana hiyo mwaga tukalale
Mimi ushauri wangu kwa serikali itoe tu muongozo kwa makuli nchi nzima kuhusu kazi yao
Kiroba kuanzia kilo 160, 150,mpaka kilo kilo 5
Kilipwe vipi
Mfano:- kilo 200,160,150,120,110 bei iwe 1500
Kilo 100,iwe 1000
Kilo 50 iwe 500
Kilo 25 iwe 250
Kilo 10 iwe 100
Kilo 5 iwe 50
Kama kazi itakua nikushusha kwa tani iwe tani moja ni 15000
Mpaka 12000.
Ikiwa hivyo itapendeza mno