Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana

Nacholalamika anawanyonya wabebaji kwa mimi hanibani maana mimi karani nalipwa na mchina direct haipitii kwake ila kwa makuli wao ndo inapita kwenye mikono yake