Tamaa Itanimaliza Jamani

Upo kwenye umri wa nyyege nyingi, ukifika miaka 25 zitapungua. Sasa hivi tafuta mtu wa kukupiga mshedede haswaa lakini kumbuka kutumia mpira kila wakati. Ningekuwa TZ ningekusaidia kwa hilo la pia ningekulea vizuri hadi umalize shule yako na hamu yako ya mshedede ingeshuka kuwa ya kawaida. Natumaini wapo watakaokusaidia kwa hilo.
 
Sio kweli umri unavyozidi ndo hamu itazidi zaidi
 
mfano mimi nina 21 now and nipo 3rd year.....mbona simple tu
kwaiyo ulianza la kwanza na miaka 5? Nchi gani iyo tanzania au? Mwaka gan? Apo kwenu hamna watoto uwe unawadanganya danganya? Sera ya serekali uanzia 1994 wanafunz walitakiwa kuanza la kwanza na miaka 7 na kama amewah sana ni 6,
 
Nilianza na miaka 6.
 
Mkuu wewe unaishi nchi gani? Mbona siku hizi ni jambo la kawaida mtoto kuanza darasa la kwanza na miaka mitano...!?
 
Fanya kitu roho inapenda ila tafakari zaidi kabla ya kuchukua hatua!!
 
Ni kawaida tu na ni umri sahihi wa kuolewa. Kama kuna MTU aliyepo tayari kuoa narudia tayari kuoa akakutolee posa akuoe ndo umpe mzigo wa halali. ILA jitahidi usiendeshwe na mihemko maana hutadumu kwenye ndoa. Angalia MTU Mwenye maono na maisha au Mwenye future na anayekupenda kwa dhati kabisa.
 
kwaiyo ulianza la kwanza na miaka 5? Nchi gani iyo tanzania au? Mwaka gan? Apo kwenu hamna watoto uwe unawadanganya danganya? Sera ya serekali uanzia 1994 wanafunz walitakiwa kuanza la kwanza na miaka 7 na kama amewah sana ni 6,
Hadi minne wanaanza mbona
 
Sio kweli huwa hazipungui zinakuwa pale pale mpaka atakapozeeka
 
ni kawaida maana apo barehe ndio inaishiaishia ukikua utaanza kufikiria kujenga maisha zaidi.
 
Mbona maneno ya zamani sana, yaani akishamaliza degree wanaume watamfuata wa kila aina kiasi kwamba atachagua tu, mkuu uko mkoa gani ambako madem waliosoma wanachagua wanaume mpaka sasa? Mimi nawajua madem wengi sana wenye degree na masters lakini wakuwaoa hawapo na wanatamani kuolewa kweli
 
Baby hizo sio akili za boom kweli? don't mind please I'm joaking.
 
kama kawaida yenu wadada degree unaimaliza na miaka 21 sasa hapa pagumu kidogo ila ntakuja pm maana hata yule mcheza sinema ye kila siku ana miaka 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…