Tally vs quickbook

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
644
Naomba mwenye ufahamu mzuri katika hizi hizi accounting packages anishauri ipi ninunue.
Kwa ajili ya matumizi ya Ngo ambayo inapata funds toka nje. Urahisi kutumia/kujifunza, wingi wa modules, bei rahisi, upatikanaji. Hivyo ni baadhi ya vigezo vya kuzingatia
karibuni
 
Soma zote !! Utapata vyeti
Kununua ya nin wakat ukihitaj sema nikupe link uka download
Tatizo kuzitumia..bora ukapige koz ya week 2 nadhan ucc
Mie nilisomaga week tu arusha
 
Soma zote !! Utapata vyeti
Kununua ya nin wakat ukihitaj sema nikupe link uka download
Tatizo kuzitumia..bora ukapige koz ya week 2 nadhan ucc
Mie nilisomaga week tu arusha

Mkuu, nisaidie hiyo download link ya quickbooks. Ahsante.
 
ingia
kat.ph/ search bar ingiza quickbooks...anza na hii koz ndo kubwa kidogo around 400mb..then tally uta search tena its around 20 mb
note..zote ni torrents
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…