Tall building a threat to Ikulu

kwakweli nimekupenda wanyamaze milele tumeshachoka na nyimbo zao za mabata maa madogo yanaogelea.

UOTE=Komeo;7070774]Kwani hilo jengo limeota ghafla kama uyoga, wakaamka asubuhi wakalikuta lipo? (Hapana)
Limejengwa muda wote kwa siri? (Hapana)
Unaweza kulificha ghorofa refu kwa kuliwekea uzio? (Hapana)
Watu wa Ikulu walikuwa wanapita njia gani kuelekea Ikulu wakati ujenzi ukiendelea? (Njia hiyo hiyo)
Walikuwa hawalioni wakati mkandarasi kaweka na vibao kulitambulisha ujenzi wake? (Waliona)
Hakuna mamlaka za Serikali yetu tukufu zilizobariki ujenzi huo? (Zipo)
Wanausalama wanaotoa assessment zao za kiusalama sasa, hawakuwepo wakati linaanza kujengwa (Walikuwepo)
Walichukua hatua gani kulizuia kwa sababu za kiusalama? (Walinyamaza)
HIVI WATANZANIA WENZANGU, HATUWEZI KUACHA USANII HATA KIDOGO? (Tumejitahidi tumeshindwa)
Sasa mtajeni kigogo aliye "nyuma" ya ghorofa hili, au mnyamaze milele! Tushachoka sisi.[/QUOTE]
 
Dawa ni moja tu kuhamia Dodoma Kama Nyerere alivyopendekeza kwani aliyajua Haya mapema Ndio Maana akataka ikulu
 
Dawa ni moja tu kuhamia Dodoma Kama Nyerere alivyopendekeza kwani aliyajua Haya mapema Ndio Maana akataka ikulu ihamie Dodoma
 
[/QUOTE]
Dawa ni kuhamia Dodoma
 
kwakweli nimekupenda wanyamaze milele tumeshachoka na nyimbo zao za mabata maa madogo yanaogelea.

UOTE=Komeo;7070774]Kwani hilo jengo limeota ghafla kama uyoga, wakaamka asubuhi wakalikuta lipo? (Hapana)
Limejengwa muda wote kwa siri? (Hapana)
Unaweza kulificha ghorofa refu kwa kuliwekea uzio? (Hapana)
Watu wa Ikulu walikuwa wanapita njia gani kuelekea Ikulu wakati ujenzi ukiendelea? (Njia hiyo hiyo)
Walikuwa hawalioni wakati mkandarasi kaweka na vibao kulitambulisha ujenzi wake? (Waliona)
Hakuna mamlaka za Serikali yetu tukufu zilizobariki ujenzi huo? (Zipo)
Wanausalama wanaotoa assessment zao za kiusalama sasa, hawakuwepo wakati linaanza kujengwa (Walikuwepo)
Walichukua hatua gani kulizuia kwa sababu za kiusalama? (Walinyamaza)
HIVI WATANZANIA WENZANGU, HATUWEZI KUACHA USANII HATA KIDOGO? (Tumejitahidi tumeshindwa)
Sasa mtajeni kigogo aliye "nyuma" ya ghorofa hili, au mnyamaze milele! Tushachoka sisi.[/QUOTE]
 
[/QUOTE]

Hakuna ufumbuzi zaidi ya kuhamia Dodoma
 
Ahamie Dodoma si ndio kuna makao makuu. Dar Es Salaam anafanya nini?
 
Gharama zote za nini hizo? Wakati kuitisha Uchaguzi mpya ni kama 100Bil tu?

Uchaguzi Ujao 2015 tunaomba Rais awe mzaliwa wa Dodoma ili iwe rahisi kuhamia Dodoma au Kama imeshindikana kuhamia Dodoma basi katiba itengue kauli na kuhamia Tanga au Moro au Kilimanjaro au Arusha au hata Kibaha ili mladi ikulu ikae sehemu tulivu yenye hewa nzuri
 
...vipi kuhusu ule ulinzi wa majini aliowekewa na marehem Sheikh Yahya?...

kikwete ana miaka miwili aondoke. tunapozungumzia usalama wa ikulu, tunazungumzia usalama wa Rais wa Tanzania. awe JK au atakaekuja baada yake
 
Tiba ya yote Haya ni kuhamia Dodoma
 
Bora useme wewe issue ya Kimweri iinajulikana na ni takribani mwaka wa pili kama si wa tatu yuko chini ya uchunguzi.Mleta mada ameweka chumvi
 
Na Maisha ya marais watakaomfuata vipi? Hayo yakosalama? Hivi JF sasa inajadili uzushi wa akina Shigongo?
 
suala la hili tumeshajadili sana humu jukwaani ila kwa kua TISS wako bize na chadema ngoja siku wataunda tume kuchunguza kifo cha rais dhaifu.
 
Mimi nadhani watawala wamejua 2015 hawana chao, wanachokifanya ni kutengeneza mazingira ya kuua Rais atakayefuata kinyume na mwenendo wao!
 
Hivi kweli hata Jk hakuona jengo hili?pinda nae?wasira pia?wafanyakazi je?watoto wa vigogo na lukuvi nao hawajaona jamani?TISS nao vp?ujanja mwingi mbele giza.Tena mwanahalisi waliwahi kusema habari hii.basi ndomana tunadharauliwa na pk,jb nk.viongozi wanamna hii hawatufikishi mbali hata ktk maendeleo aise.
 
Jengo la Mwenye nchi ndio maana alikuwa haoni shaka lilivyokuwa likipaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…