Taliban says it targeted Christians in a park on Easter Sunday, killing 65

Taliban says it targeted Christians in a park on Easter Sunday, killing 65

Mkuu, naomba ufafanuzi kidogo,
1. Ilikuwaje wakristo waliokuwa wanasherehekea pasaka wakapona halafu waislamu wakaangamia?
2. Je, Waislamu waliungana na wakristo ktk sherehe?
3. Wakrito waliondoka mapema kabla ya bomu kulipuka?
4. n.k
Wengine tulikuwa nje ya dunia hii, plse.
1. Sikukuu kama hizi watu wa dini zote na wasio na dini huzichukulia kama nafasi ya kupumzika na wapendwa wao.
2. Bustani ile ni maarufu, na ni mji ambao waziri mkuu wa Pakistan amezaliwa huko. Hivyo, watu wengi hupenda kwenda kupumzika hapo.
3. Idadi ya waislamu Pakistan ni kubwa mno kuliko wakristo wachache waliopo huko. Hivyo basi, katika mkusanyiko wa watu 100 kwa mfano, watu 90+ watakuwa waislamu, na wanaobakia ni wakristo nk
4. Kwa muktadha huo no. 3, jaribio lolote la kutaka kuua watu kwenye mikusanyiko litagharimu zaidi maisha ya waislamu kuliko wakristo.

Kama wangewataka wakristo, wangewafuata kanisani kwao. Naamini, hii ni njia ya kutaka excuse kutekeleza shambulizi hilo kwani tunajua siku zote hao TALIBAN & Co wamekuwa wakiua waislamu wenzao.
 
Asante sana mkuu kwa elimu hii.
Wangejua maana ya Pasaka wasingethubutu kutaka kuwaua Wakristo.
Jina la Bwana Yesu Lihimidiwe.
 
ni kweli bbc imetangaza kuwa lengo ilikuwa kuwaua wakristo ktk pasaka lakin.waliokufa wengo ni ndugu zao. all the same si uungwana kukatisha maisha ya mtu hata kama ni adui yako. Mungu wa rehema
 
Mungu awape rehema, uvumilivu wafiwa... Duniani kuna dhiki na maudhi,... Daaa machozi yananilenga lenga...
 
1. Sikukuu kama hizi watu wa dini zote na wasio na dini huzichukulia kama nafasi ya kupumzika na wapendwa wao.
2. Bustani ile ni maarufu, na ni mji ambao waziri mkuu wa Pakistan amezaliwa huko. Hivyo, watu wengi hupenda kwenda kupumzika hapo.
3. Idadi ya waislamu Pakistan ni kubwa mno kuliko wakristo wachache waliopo huko. Hivyo basi, katika mkusanyiko wa watu 100 kwa mfano, watu 90+ watakuwa waislamu, na wanaobakia ni wakristo nk
4. Kwa muktadha huo no. 3, jaribio lolote la kutaka kuua watu kwenye mikusanyiko litagharimu zaidi maisha ya waislamu kuliko wakristo.

Kama wangewataka wakristo, wangewafuata kanisani kwao. Naamini, hii ni njia ya kutaka excuse kutekeleza shambulizi hilo kwani tunajua siku zote hao TALIBAN & Co wamekuwa wakiua waislamu wenzao.
Waliwauwa waislamu sio waislam,muislamu haui muislamu wala asiyekuwa muislamu.Jiulize kwa nini anamuuwa muislamu,wakati huyu ameshakuwa muislamu.
Ndio mfahamu kwamba,hawa wauwaji sio waislamu.
 
Pole zao kwa kweli.
Hopefully watapata Amani mioyoni mwao. ,
 
Mkuu, naomba ufafanuzi kidogo,
1. Ilikuwaje wakristo waliokuwa wanasherehekea pasaka wakapona halafu waislamu wakaangamia?
2. Je, Waislamu waliungana na wakristo ktk sherehe?
3. Wakrito waliondoka mapema kabla ya bomu kulipuka?
4. n.k
Wengine tulikuwa nje ya dunia hii, plse.
Huwenda nimajina yana kuchanganya yale majina niya kiarabu yali kuwako kabla yadini ukweli nikwamba wame lengwa wa kristo nandio yaliyo wakuta.
 
Kwa nini kusitokee cku moja magaidi wakubaliane na viongoz wa nchi ijulikane wanataka kitu gani wapewe then waache dunia mahali salama
Mwenye mashetani hata akipewa anachota bado atataka kingine tena
 
Niliona wakirsto wakikatwa vichwa kwenye video iliyorushwa kwenye mtandao wa kijamii jina nauifazi
 
Hao bbc wamejuaje kama waliokufa ni waislamu ilihali mkristo wa pakistani aweza kuitwa ALLY!!!!
 
Shetani at their best. Mungu awasamehe tu maana hawajui walitendalo. Tuzidi kuwaombea ndugu zetu walio katika nchi zenye hatari ya kushambuliwa na wakala wa shetani
 
Kwa nini kusitokee cku moja magaidi wakubaliane na viongoz wa nchi ijulikane wanataka kitu gani wapewe then waache dunia mahali salama

magaidi wanataka uongozi mkubwa wa kuongoza nchi na wanataka dunia nzima kuwe na waislamu tu! sasa watu kama hao ukaenao meza moja ili iweje kama sio uchizi
 
=======
UPDATE:
Death toll has reached 72 people (March 28 morning)
======

March 27, 2016

A breakaway Pakistani faction of the militant Taliban group has claimed responsibility for an Easter Sunday bombing in a park in the eastern city of Lahore that killed 65 people.

Ahsanullah Ahsan, spokesman for Jamaat-ul-Ahrar, told the Associated Press that a suicide bomber with the faction deliberately targeted the Christian community.

View attachment 332945

The explosion took place near the children's rides in Gulshan-e-Iqbal park — which was crowded with Christians celebrating Easter — local police chief Haider Ashraf said. He said the explosion appeared to have been a suicide bombing, but investigations were ongoing.

The explosion killed 65 people and wounded over 300, said Deeba Shahnaz, a spokesman for Lahore rescue administration.

Punjab's chief minister Shahbaz Sharif announced three days of mourning and pledged to bring the perpetrators to justice, said Zaeem Qadri, a spokesman for the provincial government.

The park was manned by police and private security guards, police chief Haider Ashraf said. "We are in a warlike situation and there is always a general threat but no specific threat alert was received for this place," he added.

View attachment 332946

Salman Rafiq, a health adviser to the Punjab government, called on people to donate blood, saying that many of those wounded were in a critical condition.

One witness, who wished to be identified only by his first name, Afzal, told the Associated Press that he had taken 20 children to hospital and carried 3 dead bodies to a police car.

"I can't explain to you the tragic situation," he said.

Another witness, Tariq Mustapha, said that he had just left the park when he heard an explosion. He said his friend was still missing.

Footage broadcast on local television stations showed chaotic scenes in the park, with people running while carrying children and cradling the wounded in their laps.

A witness, not identified by name on Pakistan's Geo TV station, said he was heading toward a ride with his wife and two children when he heard a huge bang and all four of them were thrown to the floor. A woman was shown crying while looking desperately for her missing five-year-old son.

A spokesman for the U.S. National Security Council said that the United States "condemns the attack in the strongest terms," describing it as a "cowardly act in what has long been a scenic and placid park." Ned Price said the U.S. would continue to work with Pakistan and its partners to "root out the scourge of terrorism."
hawa jamaa ndo wanafundishwa kwamba wakilipua ndo wanaenda peponi?..
 
Those wanton killings are perpetrated by people who claim to know and proffess one, single and Almighty god! Their god they proffess has lust for blood and flesh of pregnant women, children, elders, the healthy and the sick! It is a god who promises to offer virgins for sexual pleasure to those who commit these heinous crimes after they meet their death, yes, the god who was recently quoted by one of the would be mass murderer, as the one who had promised to let the murderer dine with his prophet named as Muhammad.
The victims of this dirty contest include members of the same group of believers! Thousands have lost life, abducted, maimed and orphaned in Afghanistan, Pakistan, Somalia, Nigeria, Iraq, Turkey and many other countries. Is there any logic of entrusting oneself to such god?
 
Back
Top Bottom