Masikini hao hawana kiongozi kabisa... wao ni invisibo!!!Taliban siku hizi hawana nguvu sana,hebu wamuuwe kiongozi wa ISIS
Abu Bakr al-Baghdadi ndo leader wao,hivyo wanae kiongozi sema hawa wapo tough zaidi,na ndio wana nguvu na ushawishi mkubwa kuliko hao Taliban na Alqaeda ambao wamekwisha kabisaMasikini hao hawana kiongozi kabisa... wao ni invisibo!!!
ila c muller unaemjua wewe muller ommaryDuh Mullah kushneyyyy
ila c mullar ommaryHakuna Kiongozi aliyekuwa sahihi kama Mullah
OMG!! ndo tunasoma maadishi ya magazeti na kuaminishwa....!!! Sasa kesho litaundwa kundi la wapiganaji kwa jina jipya pya pya.. nasi tutasadiki... yaani espisode inaendela π!!!Abu Bakr al-Baghdadi ndo leader wao,hivyo wanae kiongozi sema hawa wapo tough zaidi,na ndio wana nguvu na ushawishi mkubwa kuliko hao Taliban na Alqaeda ambao wamekwisha kabisa
Nafahamu ndugu...Mullah Omary alikua anakijicho ka chongo hivi baada ya kuuwawa Mullah huyu ndo akakabidhiwa kijiti na ametafutwa muda mrefu sanaila c muller unaemjua wewe muller ommary
Taliban siku hizi hawana nguvu sana,hebu wamuuwe kiongozi wa ISIS
USA baby.....