Talaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Talaka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BIN BOR, Jan 9, 2011.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani nisaidieni, talaka inaandikwaje? Ni maneno hani hutumika? Au ipo kama fomu so wewe ukikosana my wife wako unajaza tu? Hebu tuelimishane.
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kwa wakristo ni ngumu kujua ..........but I hope weenzetu waislam watakusaidia.

  ILA KWA NINI WATAKA KUANDIKA TALAKA??
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hata ukitamka tu inatosha yaani kuharibu makaratasi
   
 4. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  talaka inayotambuliwa na serikali haiandikwi kienyeji nyumbani bali hutolewa mahakamni. kama unataka kujua format yake nenda huko au subiri mwenye soft coppy yake atakuwekea hapa. la ina sehemu kama tarehe talaka ilipotolewa, jina la hakimu aliyeitoa, majina ya parties wote, idadi ya watoto waliopatikana katika ndoa, kiasi cha matunzo ya watoto kitakachochangiwa na baba, mahari iliyolipwa ilikuwa kiasi gani na kama baba anataka mahari yake irudishwe nk
   
Loading...