Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Haaa haaa best hujatulia....halafu LE SUPER MTINDIZZ ana lafudhi ya kihaya, kumbe anavyochekaga ktk post & comments hata live vile vile, haaaa haaaa haaaa u know

Jamani nimecheka sana
 
Mie simuombei mabaya hata siku moja lakini abadilike life style anayoishi si njema hata kidogo , huwezi kuishi kwa kutafuta mabifu na kila mtu hapa duniani....

Kwani yeye moyoni mwake anajisikiaje jamani ?
Na mungu huwa sio wa Athuman wala Abdalah pekee
Mange ni wakati wa kujitathimini na kuishi maisha ya kumpendeza muumba wako
 

- natafuta mfanyakazi kwenye kampuni yangu please tuma maombi ok, tuma maombi kwenye willymalec@gmail.com please maana mtumzima mwenye kazi na maisha hawezi kuhangaika kuandika ujinga ujinga kama huu mitandaoni!!

le Mutuz Nation
 
kasema yule mbebi marha sio wako eti
eti yeye ndo anakufaa
kibibi kichawi galula eti le mutuz kinakufaa?

- Kuna mambo ya wanawake huwezi kuwaelewa zaidi ya kuwaachia wenyewe, nimefika Karatu mgeni simjui mtu kabisa huyo mbebezzz akwa wa kwanza kunifuata Hotelini akasema yeye ni my Instagram super fan na kunichukua mjini mpaka kwenye project zake na kila mahali akiniendesha mwenyewe kwa gari lake, na mpaka kuanza kumpost ni maridhio yake mwenyewe na mengine yote mpaka kunipa picha zake za Private ambazo hana Instagram. Then ni yeye huyo huyo aliyekwenda kunibadilikia and then akaanza kunipigia simu analia so ni vigumu sana kuwaelewa wabebezzz sometimes.

le Mutuz Nation
 
Wasikuangaishe hao akili ndogo! Just do your things
 

You never know with a woman......J H Chase
 
Wanawake wenyewe hawawaelewi wanawake.sie wanaume ndo tutawaelewa?.Ila umaarufu ni mzigo mgumu sana kuubeba,aheri nyie wenye mioyo
 
Le mutuz tunakukubali sana,tatizo ni yaani wewe na exposure yako yote unamuona Magufuli can do no wrong? una betray principles zako just for the sake ya kum please mtu anaye shikilia shoka-ukitegemea indirectly or directly tonge litaangukia kwako-this is so sad
 

- Mimi ninamiliki kampuni ya Social Media ambayo hata Rais uwe wewe sikuhitaji maana biashara yangu haina anything to do na Rais aliyeko madarakani au Chama ninchokiamini, so take back maneno yako aimini unachotaka na niache niamini ninachotaka mradi sivunji Sheria za jamhuri. Next time jitahidi kupangilia hoja sema ninavunja Sheria za Jamhuri kwa kuamini ninachoamini.

le Mutuz
 
Sawa huvunji sharia,but to make ends zikutane,una lick a--es.Back then,ulikuwa a man of principles,nadhani aliyekuroga kapotea na ndege ya air malaysia
 
- natafuta mfanyakazi kwenye kampuni yangu please tuma maombi ok, tuma maombi kwenye willymalec@gmail.com please maana mtumzima mwenye kazi na maisha hawezi kuhangaika kuandika ujinga ujinga kama huu mitandaoni!!

le Mutuz Nation
Acha kuleta mbwembwe nilikuwa najua watu wanavyoandika kwamba unaishi kidananda wanakusingizia kumbe kweli unaiba picha za vyakula harafu unapost kwamba umekula huoni kama unajiaibishaharafu kumbe unabinti mkubwa tu sijui anavyoona unawashika viuno mabiti wa umri wake sijui uwa anakuchukuliaje?
 

- again kama unatafuta ajira karibu sana maana unachoandika ni dalili za kutokuwa na maisha, hahahahahaa pole sana

le Mutuz NAtion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…