Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

M
nifah I told u Dat huyu ajuza ameachwa and I said that time will tell... Watu wakatoka povu Sana Tu,., me PIA kila siku lazma nichungulie kwa kichwa panzi ika silike wala SI comment cas sina fekero... Na sasa takuja na new about that gagula....
 
Kuweka record straight ni kwamba KIGAGULA anashirikiana na my ex wife kunichafua na tatizo la my ex ni anataka nyumba na Shamba langu kule Kinyerezi karibu na kwao that is all. In my life sijawahi kum date Mwanamke ANAYEITWA HONEY wala hata kulala naye. Nilichojifunza kuhusu KIGAGULA ni kwamba huwa anatumia false info na haters na yeye anazirukia na kuanza kukushambulia now Wabongo wengi wanamuogopa kwa sababu wanaogopa kushambuliwa na uongo. Ndio maana Mimi na Kichwapanzi tuliamua kuanza kumjibu leo hana tena ile power aliyokuwa nayo once ya kushambulia watu bila kujibiwa na akaumia. She is a Bully furaha watu wa aina yake ni wengi sana US furaha yao ni kuona Binadam mwingine anaumia kwa kudhalilishwa halafu they are very good at convincing the public kwamba hawaumii wakishambuliwa kumbe ni Wabongo. Ndio tukakubaliana na Kichapanzi mwisho wa mashambulizi yetu ni Tarehe 30/7/2016 tulitaka tu kumuonyesha kwamba yeye sio that powerful and mighty kama alivyokuwa anajifanya zamani siku hizi ameshakuwa wa kawaida sana sawa bado anaweza kukushambulia lakini sio kama zamani na ni baada ya kuniahambulia sana kwa uzushi na kukuta ninamjibu kwa FACTS bila kutemtereka na matusi na uzushi wa ajabu sana. Ila seriously she is very skilled in attacking na in manipulating the public ametumia talent hii kutengeneza Pesa angekuwa mbali sana. Again thanks guys kwa kujisikiliza ila Tarehe 30/7/2016 itakuwa ndio mwisho wa majibu yetu kwake Mimi na Kichwapanzi.! - le Mutuz Nation
 
kuna makosa mengi in ya herufi sababu natumia simu ndogo na nipo mbali Mbugani Ngorongoro.
 
Ndio tukakubaliana na Kichapanzi mwisho wa mashambulizi yetu ni Tarehe 30/7/2016 tulitaka tu kumuonyesha kwamba yeye s


ila Tarehe 30/7/2016 itakuwa ndio mwisho wa majibu yetu kwake Mimi na Kichwapanzi.! - le Mutuz Nation

Tunaisubiria kwa hamu tarehe 30 July siku ya kusurubishwa Mange na Le mu bebez na kichwapanzi

Cc: Nifah witnessj
 
M
nifah I told u Dat huyu ajuza ameachwa and I said that time will tell... Watu wakatoka povu Sana Tu,., me PIA kila siku lazma nichungulie kwa kichwa panzi ika silike wala SI comment cas sina fekero... Na sasa takuja na new about that gagula....
Kuna siku si nikalike post ya KP kwa bahati mbaya.....weeee nilipanikije nikaunlike fastaaaa remosa chezea kusutwa
 
Kuna siku si nikalike post ya KP kwa bahati mbaya.....weeee nilipanikije nikaunlike fastaaaa remosa chezea kusutwa
hahahahaaaaa mh yule bibi hachelew kukupa kufuli na kuscreen short picha zako za insta na kuanza kukushambulia na ghafla ukawa maalufu hahahaaa
 
kasema yule mbebi marha sio wako eti
eti yeye ndo anakufaa
kibibi kichawi galula eti le mutuz kinakufaa?
 
hahahahaaaaa mh yule bibi hachelew kukupa kufuli na kuscreen short picha zako za insta na kuanza kukushambulia na ghafla ukawa maalufu hahahaaa
Tena afadhali akushambulie wewe, ni wewe na wote waliolike kwako wataisoma.
 
hahahahahhahahaahha mkubwa umeniua sana mbavuuuu!!!!
hahahaahahahaha binafsi nipo hapa kuinjoy session ya madongo dhidi ya huyu bibi bomba kutoka kila upande wa nchi!
 
W. J. Malecela nimesikiliza interview yako kidogoo na diva clouds Fm aiseee una sauti very sexy hatareeeee. Naomba clip ya interview nzima plz
Haaa haaa best hujatulia....halafu LE SUPER MTINDIZZ ana lafudhi ya kihaya, kumbe anavyochekaga ktk post & comments hata live vile vile, haaaa haaaa haaaa u know
 


Nakubaliana Lemutuz; Kichaa akichukua jiwe; na wewe chukua kubwa zaidi!!!!!!
 
Huwa sina kawaida ya kusupport ujinga ujinga ila kwa hili nawaunga mkono, Mange she is next to Lucifer.
 
We mzee mbona unakuwa na akili za kitoto kwa umri wako sio sawa kushindana na kujibishana na wanawake kwenye mitandao unatuaibisha wanaume,juz kuna habari ilisambaa kwamba unaiba picha za vyakula harafu unapost kujifanya ndio vyakula anavyokula sio poa acha kufake maishahiyo picha ulipost kujifanya umekula huo msosi kumbe uliiba walivyo kushtukia ukafuta fasta hiyo picha ukaamua kupost kuomba msamaha picha hii hapaharafu kumbe unabinti mkubwa tu sasa anapoona baba yake anabishana na wanake na kuiba picha za vyakula mitandaoni unafikiri wanajisikiaje watakuwa wanakuzalau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…