a.k.a_Mimi JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 292 Reaction score 113 Nov 27, 2014 #1 Mahakama imeamuru Sir Chris Hohn kumlipa mkewe aliyeachana naye £337mil ambayo ni nusu ya pesa aliyonayo (Mara 3 ya kitita cha Escrow!). Kwa hiyo huyo mwanamke anakuwa tajiri zaidi ya malkia wa Uingereza.....!
Mahakama imeamuru Sir Chris Hohn kumlipa mkewe aliyeachana naye £337mil ambayo ni nusu ya pesa aliyonayo (Mara 3 ya kitita cha Escrow!). Kwa hiyo huyo mwanamke anakuwa tajiri zaidi ya malkia wa Uingereza.....!
Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,469 Nov 27, 2014 #2 Kwahiyo tufanyaje..rudisha pesa zetu mbulumundu nyie
a.k.a_Mimi JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 292 Reaction score 113 Nov 28, 2014 Thread starter #3 Super Handsome said: Kwahiyo tufanyaje..rudisha pesa zetu mbulumundu nyie Click to expand... Ni habari tuh ya huko nchi za magharibi mkuu...
Super Handsome said: Kwahiyo tufanyaje..rudisha pesa zetu mbulumundu nyie Click to expand... Ni habari tuh ya huko nchi za magharibi mkuu...