Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,096
- 828,939
Mmefunga ndoa yenu kwa nderemo vifijo na sherehe nzuri tu, mnaanza maisha kwa matumaini makubwa ya ndoa yenye furaha mafanikio na amani tele
Lakini katikati ya safari mambo yanaharibika mnatofautiana kwa sababu hii au ile, mnasahau happy moments zoote mlizopitia mnashindwa kucompromise , mwishowe mnaishia mahakamani kudaiana talaka au mnatwangana talaka sababu
Jamani jamani jamani talaka haitakupunguzia maumivu bali itakuwa ndio Mwanzo wa kuyumba kimaisha na kuombeana mabaya
Tuvumiliane katika mahusiano yetu Siku hazifanani sikila Siku itakuwa ya amani na furaha kila mmoja analia mazuri na mabaya yake