"A fool can easily be identified by what proceeds from his/her mouth." (Adedayo kingjerry)USA na Taliban wamekubaliana ,
USA kuwaachia huru mateka 5 wa Taliban, na Taliban kumwachia huru mateka mmoja wa USA.
Lakini baada ya kuachiwa huru mateka wote wa Taliban, na kuachiwa huru mateka huyo wa USA, wamarekani wakapigwa bubwazi kujui kwamba mateka huyo (wa usa) amesilimu.
Hapo yupo katika press conference na Raisi wa usa Barak Obama.
الله أكبر
amekosea huyo ni Robert,baba mtu, a muslim
A fool can easily be identified by what proceeds from his/her mouth. (Adedayo kingjerry)
Kuna huyu kaka km anapinga mpaka povu linamtoka ovyo.POWs dad praises Allah at
suspicious Rose Garden
press conference with
Obama
June 1, 2014 by Joe
Saunders 355 Comments
The father of the U.S. soldier
released in a prisoner swap with
the Taliban in Afghanistan on
Saturday ended a White House
news conference praising Allah
with the most frequently used
phrase in the Quran and
questions continue to build over
the wisdom and legality of
the trade.
Appearing with President Obama
in a brief Rose Garden event,
Robert Bergdahl, the father of
Army Sgt. Bowe Bergdahl,
recited Bismillah ir-Rahman ir-
Rahm, according to the Daily
Caller. In English, that means, In
the name of Allah, most Gracious,
most Compassionate.
When he finished reciting, the
president hugged him.
Mahmood nadhani huyu ni baba'ke huyo mateka.USA na Taliban wamekubaliana ,